Forgo
Member
- Apr 7, 2016
- 27
- 60
Ni wazi pesa zimepigwa na wananchi wameliwa kekundu(Ni kawaida ya wadanganyika), Serikali ilifanya harambee inayosema Changia Maafa Kagera. Kwa maneno hayo ni dhahiri serikali haikuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya kujenga miundombinu yake bali kuwaokoa waathirika wa tetemeko kutokana na hali ngumu ya chakula, malazi na makazi. Labda ndo kuokoa pesa na kuzielekeza kwenye mfuko wa wajanja.
"Tetemeko halikuletwa na ccm, ndugu watanzania tujitolee kwa moyo wa upendo kuwachangia wenzetu wa Kagera waliokumbwa na tetemeko" - JPM 2016
"Serikali haitamjengea mwananchi nyumba wala kumpatia chakula kwanza serikali ya namna hiyo haipo kokote duniani! Haipo!, kila mmoja abebe msalaba wake" JPM 2017
Wajinga ndo waliwao