Sijali JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 2,700 Reaction score 1,853 Feb 7, 2013 #41 bushman said: Budget ya mwaka 2012/2013 wameshindwa kutekeleza tasisi nyingi na halmashauri ziko hoi kifedha,bungeni wanacheza tu nchi inaaangamia. Click to expand... Mbona mna haraka? Ngojeeni afungue mapochopocho. Ndiyo kwanza amerudi kutoka kuomba.
bushman said: Budget ya mwaka 2012/2013 wameshindwa kutekeleza tasisi nyingi na halmashauri ziko hoi kifedha,bungeni wanacheza tu nchi inaaangamia. Click to expand... Mbona mna haraka? Ngojeeni afungue mapochopocho. Ndiyo kwanza amerudi kutoka kuomba.
S swrc JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 442 Reaction score 38 Feb 7, 2013 #42 Sio rahisi kihivyo serekali hii kuishiwa ila zinapungua na zikipungua tu inakwenda kukopa kwenye taasisi nyingine na mambo yanakwenda kama kawaida
Sio rahisi kihivyo serekali hii kuishiwa ila zinapungua na zikipungua tu inakwenda kukopa kwenye taasisi nyingine na mambo yanakwenda kama kawaida