qmansome
Senior Member
- Sep 25, 2015
- 108
- 44
Asilimia kubwa ya hizi kampuni wafanyakazi wake hulipwa mishahara duni ,pia hawawekwi ktk mfumo wa pensheni wameajiriwa lkn wanafanya kazi km vibarua ili hali wanaleta ndugu zao kutoka India nakuja kufanya kazi ambazo watanzania tuna uzoefu na taaluma nazo MH RAIS, WAZIRI PITENI HUMO MTUMBUE MAJIPU