Serikali ijitafakari sana!

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
1,896
Reaction score
3,660
Inasikitisha unamwambia mtu aombe nafasi ya Usimamizi wa maudhui, unarudisha jina ili afanye usaili! Mhusika anachoma nauli kwenda kufanya usaili halafu wote waliofanya usaili kwenye kipengele hicho unawakata na kuwaweka watu wengine from no where!
Huu sio utaratibu mzuri Hata kidogo, hii nchi ni yetu sote tusifanyiane hivyo.
Mm sio mwandishi mzuri lakini nimemaliza.
Waongezeeni hao wenye navyo.
 
Mkuu pole sana,hii ndio Tanzania yetu.

Hizi local government huwa wanafanya Mambo yao local sana..

Pole sana mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…