Serikali ijiridhishe vya kutosha kabisa kabla ya kuingia mikataba ya kuleta mbegu za GM

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292
The Permanent Secretary of Tanzania's Ministry of Agriculture and Food Security, Honorable Florens Turuka has vouched for the country's readiness to transact business on GM crops. Speaking at the launch of the ISAAA Global Report on Commercialized Biotech/GM Crops (2015), Honorable Turuka said the government intends to revolutionize agriculture by introducing biotech crops to improve the quality of yields.

"We want to make sure that the quality of the yields that we are harvesting is improved. We believe this report we have launched will help us show the public on how other countries are benefiting from agri-biotechnology." Prof. Gerald Monela, Vice Chancellor, Sokoine University of Agriculture, the host of the event, echoed Hon. Turuka' sentiments, adding that the country has the required capacity for research on GM crops.

"Our experts here at the university will follow internationally accepted guidelines to conduct the research on GM crops." Prof. Monela urged the public not to worry and asked leaders "who because of misinformation, might have said inaccurate things, that have instilled fear in the public to reassure them of the safety standards in place."

The meeting was organized by the Open Forum on Agricultural Biotechnology in Tanzania in collaboration with the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) at the Sokoine University of Agriculture (SUA) in Morogoro, Eastern Tanzania, on May 30, 2016. It was attended by 90 participants, including farmers, scientists, representatives from academia and media.

For more information on the event, contact Mr. Philbert Nyinondi, coordinator of the OFAB Programming Committee in Tanzania at nphilbert@costech.or.tz


MY TAKE:
Hizi Genetically Modified Crops, Zimekuwa debated sana na wanasayansi, Kuna nchi nyingi sana za Ulaya na Russia wamekataa katakata kukubali hizi Genetically Modified seeds wao wanataka Organic (yaani mbegu zile za asili)

Genetic Modified crops mbugu zake haziwezi kuzaa kwa hiyo kila mwaka utahitaji kununua mbegu mpya kutoka kwa makampuni yanayotengeneza mbegu, na ukishazipanda mbegu za aina hiyo unaweza kupolute genetic pool kiasi kwamba hata ukianza kupanda za asili nazo zinaweza kucrossbreed na matokeo yake ardhi zisiwe zinaota kwa uzuri kama zamani.

pia kuna suala la Afya, Wakati Mwingine hizi Genetically modified seeds zinatengenezwa na aina fulani ya genes zenye kuzalisha sumu fulani ya kuua vimelea vinavyoishambulia au kuua manyasi au mimeamingine isiyotakiwa inayoota katika mashamba, Hii sumu wanasayansi wanasema inaweza kuwa si njema kwa afya za watu.

hizi GM crops ni biashara ya Makampuni makubwa yanayotaka kumiliki food chain ya Dunia, tukiingia kichwakichwa tutajikuta Watumwa wa makampuni haya huko mbeleni, kwa sababu anayemiliki "Mbegu" anamiliki Chakula, Na kwa kuwa tayari ukishaanza kutumia mbegu hizi basi za asili hazioti vyema basi tutajikuta sisi ni Watumwa wao, Tutakuwa tayari kugawa rasilimali zetu nyingine kwa ajili ya Kupatiwa mbegu!


OMBI LANGU
Serikali ijiridhishe vya kutosha kabisa kabla ya kuingia mikataba ya kuleta mbegu hizi nchini, Binafsi nashauri twende Orginic kama siku zote, tuachane na Haya Magenetic Modified Crops
 
Back
Top Bottom