Ninamaanisha ikiwa Venezuela na utajiri mkubwa wa mafuta imefilisika kwa Sera mbovu za kiuchumi (socialism) je sisi hapa Tanzania itakuwaje.Duh! Sasa Tz na Venezuela vinarelate vipi rafiki? Kwan uchumi wa Tz unategemea oil kama wa Venezuela? Nchi ambayo unaweza kulinganisha na Venezuela Africa ni Angola.Nao uchumi wao umeyumba sababu ya oil price.
Hiyo hoja yako ya pili kuhusu MV.Victoria sijaielewa kabisa!
Magufuli anaongoza serikali ya kijamaa na kujitegemea mbona amewafanya watanzania wasiwe WAVIVU WA KUFIKIRI,LEGELEGE NA DHAIFU km ulivyosema.Ujamaa na ubepari ni mifumo ya kiuchumi na kiutawala yenye faida na hasara. Athari za mifumo hii ni kama ifuatavyo.
Ujamaa unatengeneza taifa la watu waoga, legelege, wavivu wa kufikiri n.k, hapa ndio Venezuela wapo na sisi kwa kiasi.
Ubepari unatengeneza raia wakaidi, watukutu, wenye uhuru uliopita mipaka n.k. Hii ndio kesi ya ulaya na marekani, maandamano ya hivi karibuni ni moja ya ushahidi wa hili hadi wengine kuacha lengo kuu la maandamano na kufanya uhalifu.
Mifumo hii ikitekelezwa na kuunganishwa pamoja inaleta uwiano chanya kiuchumi na kijamii kwa kiasi. Mfano hai ni China.
Rais Magufuli alishawaambia makapuku wa fikra kuwa WANAISHI ZAIDI YA MALAIKA KWA KUIKWIBA NCHI kwa kigezo Cha kukosekana SERIKALI YENYE KUZINGATIA MIIKO YA KULINDA WANANCHI,Sasa wajue wataishi vibaya ZAIDI ya SHETANI.nadhani awamu ya pili ya magufuli kama atachaguliwa uchumi utakuwa wa vuta nikuvute hasa kwa makapuku wa fikra na makapuku wa fedha.
Zombie wa kijani umeelewa kilichopo?Duh! Sasa Tz na Venezuela vinarelate vipi rafiki? Kwan uchumi wa Tz unategemea oil kama wa Venezuela? Nchi ambayo unaweza kulinganisha na Venezuela Africa ni Angola.Nao uchumi wao umeyumba sababu ya oil price.
Hiyo hoja yako ya pili kuhusu MV.Victoria sijaielewa kabisa!
Unasema socialism Ina sera mbovu ilihali katiba ya nchi yetu inachukua KIDOGO ya mfumo huo na kuufinyanga kuwa wa UJAMAA WA KIAFRIKA,NDIYO huu ujamaa na kujitegemea.Ninamaanisha ikiwa Venezuela na utajiri mkubwa wa mafuta imefilisika kwa Sera mbovu za kiuchumi (socialism) je sisi hapa Tanzania itakuwaje.
Kuhusu Mv Victoria ni kwamba serikali imetangaza itasafirisha mizigo kutoka Mwanza mpaka Bukoba je hao wasafirishaji walipa Kodi watafanya kazi gani.
Mtoa hoja hebu enenda vizuri ili watu tuchangie kwa kujua kuwa wewe mwenyewe UNAO UPEO MKUBWA JUU YA MASUALA YA VENEZUELA....Ninamaanisha ikiwa Venezuela na utajiri mkubwa wa mafuta imefilisika kwa Sera mbovu za kiuchumi (socialism) je sisi hapa Tanzania itakuwaje.
Kuhusu Mv Victoria ni kwamba serikali imetangaza itasafirisha mizigo kutoka Mwanza mpaka Bukoba je hao wasafirishaji walipa Kodi watafanya kazi gani.
Kiongozi tuliyenaye hajali uchumi, anajitahidi kusaka kura za wenye uelewa finyu.
Serikali sikivu iliyoujenga UKUTA mbuguni mererani wilayani simanjiro ili kudhibiti wizi wa raslimali ZETU na kumfanya mzee LAISER awe bilionea kwa ule mzigo wa kilo 14 kwa ujumla.Hii Serikali yako ya sasa unadhani ni Sikivu Ndugu?
Unaweza kuniambia kwanini baadhi ya sehemu hapa Tanzania kuna uhaba wa mafuta ya diesel na petrol. Je hi ni hujuma dhidi ya serikali kuelekea uchaguzi mkuu ama ni sera mbovu ya uchumi.Matatizo ya Venezuela na Iran yanasababishwa na nchi ya marekani kwa kuziwekea vikwazo vya kibabe nchi hizo.
Na so hizo tu bali hata Korea kaskazini ni same story.
Kuhusu MV victoria na impact ya uchumi ndio umejikoroga binafsi...
NI miaka michache iliyopita WAPIGAJI WA NCHI wakatengeneza skandali ya kupata fedha kwa sababu ya kutokuwa na UMEME WA KUTOSHA.
1.IPTL-ESCROW
2.Dowans
3.Richmond
MAGUFULI ANAJENGA MIUNDO MBINU YA UMEME WA UHAKIKA ILI UZIDI KUSISIMUA UCHUMI...wewe unadai HAJALI uchumi ha ha ha muwe mnakunywa maziwa baada ya kupata TATU MZUKA...
Karibu hapa mchupa mkubwa wa FARU JOHN hatimiliki ya mh.mwenyekiti😂😂
Uliposoma hukuelewa?Toa hizo herufi kubwa ndani ya sentensi zako, ili uje nikupe dozi sahihi.