Serikali ije na mkakati mkali wa kupunguza kasi ya kuzaliana bila hivyo hili taifa litaangamia

Upo sahihi mtu wangu.. nafikiri kwa Tanzania kuzaa watoto wawili inatosha coz dunia imeshaharibika now days kuzaa watoto wengi ni kujitafutia majanga tu... ila wanawake wengi hawana elimu ya uzazi wa mpango, tamaa zinawafanya kupanua tu mapaja bila kutumia akili mwisho wa siku tunakuwa na watoto wengi bila mpangilio na kuzalisha mapanya road, makahaba, mashoga, matapeli na wajinga wengi ambao hawana faida kwa taifa.. kiasi ni bora kuliko wingi usio na faida.
Wapi dunia imealibika?utazaliwa utakufa watu wanaendeleza mwendo
 
Hebu tuwekee takwimu namba hapa tuweze kupata picha halisi ya unachokisema

Lazima tujue nini kinatakiwa, nini kimezidi na nini kimepungua ndio tujadili Hilo la kuacha kuzaliana au kuongeza kuzaliana
... jana Mh. Rais katu-tip hali ilivyo; anasema Kituo cha Afya Beseresere kinazalisha vichanga 1,000 (elfu) kila mwezi! Huo sio uzao wa kawaida kwa kituo kimoja cha afya tena kijijini penye umaskini uliokubuhu.

That means ndani ya miaka mitatu walipa kodi watakamuliwa tena kuwajengea Buseresere kituo kingine cha afya, shule, huduma za maji, n.k. huku wao wakiendelea kuzaliana ovyo na kuharibu mazingira! Hapana!
 
Unakuta mtu anakaa Nyumba ya kupanga Chumba na sebule ana Watoto sita.

oday2.png
 
Eti tukiwa wengi ardhi itakwisha,,

Hiyo ni dalili ya uchoyo na ubinafsi.

Elewa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kwanza ni watu..

China.
India
Marekani,
Kote ni big populations.


Tanzania bado ina maeneo mengi ambayo bado yapo wazi,misitu na mapori makubwa,
Humo akaishi nani kama sio watu kuongezeka?
Huyu Naona ameshakuwa tayari brainwashed pia Hana hata hoja ya msingi. Atakuwa amevimbiwa kuku aakajisikia kua aandike hivi.

Kuna nchi moja ipo Scandinavia ukubwa wake kwa tz inaingia 5x Ila sie idadi ya watu ndogo Kama 5x ya idadi yao. Mkishakuwa wengi akili inawajaa na mnachacharika kinyama cheki hizo India na Nigeria ndio wageni nchi nyingi. Ni Kama wachaga walivyo wengi kaeneo kao kadogo so wametapakaa kila palipo na fursa.
Umeona wachina muda si muda watajaa afrika waambie waache kuzaliana.

Naona hajui kuwa Kuna kitu kinaitwa human resources yeye anajua land and misitu resources amekariri. Manesi wengi Ni wahindi London kuliko wazawa.
 
Ni sheria ukizaa zaidi unafungwa kifungo kirefu.
Inatufaa sana sisi hiyo sheria.
... kuzaa bila matunzo ni unyanyasaji kwa watoto. Kama ilivyo kwenye ajira, idadi ya watoto wanaotambuliwa kwenye stahiki za mwajiriwa ni wanne, sheria pia iweke limit kwa wananchi kuhusu idadi ya watoto wanaoweza kupata huduma fulani fulani za kiserikali mfano elimu bure, n.k.

Zaidi ya hapo ni jukumu la aliyewazaa kuwahudumia na akishindwa achukuliwe hatua kali kwanini anawatesa watoto. Ni ujinga wengine wazaezae ovyo (mara nyingi hawana la maana la kuchangia kwenye pato la taifa) halafu wengine wachache (walipa kodi) wabebeshwe zigo la kuhudumia familia za wazaa ovyo.
 
Unakuta mtu anakaa Nyumba ya kupanga Chumba na sebule ana Watoto sita.

View attachment 2390057
... kuna jamaa mmoja mahali fulani ni mtunza shamba la bwana mmoja hivi na ameishi mahali pale na familia yake kwa zaidi ya miaka 15 na ana watoto 8 hapo hapo shambani! Huwa najiuliza, siku mwenye shamba lake akiamua kumtoa pale itakuwaje sipati jibu.
 
Kuna haja ya kudhibiti ongezeko la idadi ya watu nchini, bila hivyo itakuja kufika mahali tutakosa hata pa kujenga au hata hifadhi na misitu itaisha

Itakuja kufika mahali hata hii hali ya hewa nzuri tuliyonayo itayeyuka kwasababu ya kuwa na idadi kubwa ya watu

Kuna watu wanatetea hoja kwamba tuzaane sana na kwamba maeneo bado ni mengi, hadi najiuliza huyo mtu ana akili kweli??Kwasababu huko ni kutoitazama future, huiangalii kesho unaiangalia leo hili ni tatizo kubwa sana kwasababu tusipodhibiti hali ya mambo hata hayo mapori yatakuja kuisha tubaki tukihaha

Sisi wenyewe milioni 64 bado serikali kuhudumia ni kipengele vipi kuhusu watu milioni 120? Nigeria wapo wengi jee wana kipi cha maana cha kujivunia?Wahindi wapo wengi zaidi ya umasikini na kukimbia na kuhamia nchi nyingine kutafuta fursa kuna jipya lipi?

Kwani kuzaliana sana mkishakua wengi ndo mnapata nini? Ndo maana wazungu wanataka kutupunguza kwa nguvu kwasababu sisi tumeshindwa waafrika wanaofia baharini kila siku wakikimbilia Ulaya ni matokeo ya kuzaliana sana tusipokua makini tutakuja kuwa katika matatizo makubwa kuna haja ya kudhibiti watu kuzaliana kwa kasi nchini.

Serikali isipodhibiti watu kuzaliana imekula kwetu kuna haja ya kuja na mpango wa watoto wachache sana kuwa wengi sio ishu kubwa, lazima birth rate ishuke lasivyo hali itazidi kuwa mbaya
Unadhani serikali ifanyaje ili tusizaliane?je iweke sheria kila mtu awe na mtoto 1 au?na kingine hakuna anaezaliwa kwa bahati mbaya,kila anaezaliwa na kupata nafasi Mungu tayari ana kuwa ana kusudi nae tayari,sasa endapo tutataka kupingana nae sawa,tutapigwa mapigo makubwa sana,na hakuna wa kuzuia watu wasizaliane duniani never
 
Nikiwa naendaa kwetu Mbeya njia nzima maporii Tu maporii Tu Bado tupo wachache kwa kweli
... wanaozaliana ovyo huko maporini wana mchango gani katika pato la taifa including kodi ili serikali iweze kuwapatia huduma za kijamii? It is not about availability of mapori, but the quality of life kwetu na kwa hao tunaowazaa.
 
Eti tukiwa wengi ardhi itakwisha,,

Hiyo ni dalili ya uchoyo na ubinafsi.

Elewa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kwanza ni watu..

China.
India
Marekani,
Kote ni big populations.


Tanzania bado ina maeneo mengi ambayo bado yapo wazi,misitu na mapori makubwa,
Humo akaishi nani kama sio watu kuongezeka?
Sana Tanzania tumerundikana tu baadhi ya maeneo hasa mijini,lakini ukianza kusafiri ndio utajua kuna mapori mengi yapo tu na hayana kitu chochote,Tanzania bado hata robo ya hayo maeneo hatujaifikia
 
Mmeanza wafuasi wa bill gates utasema nyie ndio wagawaji rizk
 
... jana Mh. Rais katu-tip hali ilivyo; anasema Kituo cha Afya Beseresere kinazalisha vichanga 1,000 (elfu) kila mwezi! Huo sio uzao wa kawaida kwa kituo kimoja cha afya tena kijijini penye umaskini uliokubuhu.

That means ndani ya miaka mitatu walipa kodi watakamuliwa tena kuwajengea Buseresere kituo kingine cha afya, shule, huduma za maji, n.k. huku wao wakiendelea kuzaliana ovyo na kuharibu mazingira! Hapana!

Usiogope
Baraka za kuongezeka hizo
 
Hoja mfu.
Wakizaa Sana unaumia wapi. Umagharibi unakusumbua asee. LabdA nikukumbushe br hata tukapungua tukawa milioni 10 hivi na pato letu likawa like like kwa namna flani, bado hatutakuwa kule unapofikiria

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
mtoa mada itakuwa unaishi mjini wewe hahaahaa,,,njoo huku bush uone Tz ilivokuwa kubwa,,,,na hayo mapori yasiyo hifadhi yko mengi kuliko hifadh zenyewe
 
Back
Top Bottom