Serikali iingilie kati juu ya Ubakaji unaoendelea Coco Beach jijini Dar!

Nikiwa kama mdada mwenye uchungu na suala la kufanya mapenzi na mtu usietegemea nimeona nililete hili suala hapa.

Kule Coco Beach kuna wakaka huwa wanakodisha maboya ya kuogelea. Ukienda kukodi wanakuambia tukufundishe kuogelea, ukikubali wanakupeleka katikati ya kina cha maji ambapo unakuwa huwezi kukataa jambo lolote maana hujui kuogelea na akikuachia huwezi kumudu hayo mawimbi ya maji, basi hukulazimisha kufanya mapenzi bila hiari yako.

Unafanya naye mapenzi na kama tunavyojua kubakwa ni kitendo cha aibu huwezi kusema kokote zaidi ya kuugulia maumivu moyoni. Mbaya zaidi huwa hawavai mpira wanakufanya kavu kitendo ambacho kupata mimba au UKIMWI ni rahisi. Ni kitendo cha dakika tano lakini kinaweza kikakugharimu maisha yako yoote.

Jumamosi moja jirani yetu aligundua binti yake ana dalili za kuumwa, akampeleka hospitali akagundua ana ugonjwa wa zinaa. Jirani yule aliumia saana akaamua kuniita ili nimsaidie kumhoji binti yule kuwa imekuwaje kapata huo ugonjwa wa zinaa na binti ni mdogo yuko form three tuu shule moja hivi naihifadhi, ndipo akatupa mkasa uliompata kuwa ni vijana wanaokodisha matairi kuwa ndio waliomfanyia unyama huo.

Na mimi nikaona kabla sijaandika humu nikaona ni bora nikashuhudie nikaenda pale nikakodi mpira kijana akanisihi anifundishe ili nijue kuogelea. Tukaanza safari ya kuogelea kufika sehemu penye maji mengi nikaona yule kaka macho yameanza kuwa mekundu, mdudu ushaanza kusimama na ananilazimisha kunipeleka mbaali. Nikaanza kuvutana naye kwamba siwezi kuendelea mbele hapa pametosha. Kwa kuwa hakukuwa mbali saana na watu wako karibu na mimi ninaongea kwa sauti kubwa ndipo akaamua kunirudisha kwa kudai kuwa ni muoga tuu na siwezi kuyazoea maji.

Ombi langu kwa serikali: Kuna haja ya kuwasaidia wadada juu ya kadhia hii maana wengine hawawezi kusema na ni wake za watu wanaishia tuu kunyamaza na maumivu makali.
 
Attachments

  • E753CCA6-DC8C-4391-AD55-30163CFD549B.jpeg
    E753CCA6-DC8C-4391-AD55-30163CFD549B.jpeg
    49.5 KB · Views: 6
Nikiwa kama mdada mwenye uchungu na suala la kufanya mapenzi na mtu usietegemea nimeona nililete hili suala hapa.

Kule Coco Beach kuna wakaka huwa wanakodisha maboya ya kuogelea. Ukienda kukodi wanakuambia tukufundishe kuogelea, ukikubali wanakupeleka katikati ya kina cha maji ambapo unakuwa huwezi kukataa jambo lolote maana hujui kuogelea na akikuachia huwezi kumudu hayo mawimbi ya maji, hivyo hukulazimisha kufanya mapenzi bila hiari yako.

Unafanya naye mapenzi na kama tunavyojua kubakwa ni kitendo cha aibu huwezi kusema kokote zaidi ya kuugulia maumivu moyoni. Mbaya zaidi huwa hawavai mpira wanakufanya kavu kitendo ambacho kupata mimba au UKIMWI ni rahisi. Ni kitendo cha dakika tano lakini kinaweza kikakugharimu maisha yako yoote.

Jumamosi moja jirani yetu aligundua binti yake ana dalili za kuumwa, akampeleka hospitali akagundua ana ugonjwa wa zinaa. Jirani yule aliumia saana akaamua kuniita ili nimsaidie kumhoji binti yule kuwa imekuwaje kapata huo ugonjwa wa zinaa na binti ni mdogo yuko form three tuu shule moja hivi naihifadhi, ndipo akatupa mkasa uliompata kuwa ni vijana wanaokodisha matairi kuwa ndio waliomfanyia unyama huo.

Na mimi nikaona kabla sijaandika humu nikaona ni bora nikashuhudie nikaenda pale nikakodi mpira kijana akanisihi anifundishe ili nijue kuogelea. Tukaanza safari ya kuogelea kufika sehemu penye maji mengi nikaona yule kaka macho yameanza kuwa mekundu, mdudu ushaanza kusimama na ananilazimisha kunipeleka mbaali. Nikaanza kuvutana naye kwamba siwezi kuendelea mbele hapa pametosha. Kwa kuwa hakukuwa mbali saana na watu wako karibu na mimi ninaongea kwa sauti kubwa ndipo akaamua kunirudisha kwa kudai kuwa ni muoga tuu na siwezi kuyazoea maji.

Ombi langu kwa serikali: Kuna haja ya kuwasaidia wadada juu ya kadhia hii maana wengine hawawezi kusema na ni wake za watu wanaishia tuu kunyamaza na maumivu makali.
HAWA wabakaji [BEACH BOYS]nawafahamu, wanaishi NAMANGA-kwenye makutano ya kwenda MSASANI.
Hapo wanapouza maua ya harusi na maziko, DON BOSCO.
Hawa Jamaa mchana wanacheza kamari na hawana makazi,wanalala nje, siku za beach hasa kuanzia ijumaaa mpaka jumapili ndio wanatia watoto wa watu, yaani mwanaume unaweza kwenda na mwanamke wako ukawapa jamaa wamfundishe kuogelea , wanampakiza kwenye tairi /boya wanampeleka katikati, anapigwa miti huku wewe unaona lakini huwezi jua maana viungo vya uzazi vinakutania ndani ya maji;
Mchumba wako akiashamwagiwa anajisuuza ndani ya maji akitoka yupo vizuri.

watu washapiga kelele sana na hii ipo beach zote za Dar na hakuna hatua inayochukuliwa.
 
Huku panyaroad wanatikisa, kule beach boys wanatamba!

Hivi huko Daslamu hakunaga Serikali?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom