Mji wa Arusha umekuwa kitovu cha wahamiaji haramu wenye asili ya kisomali.
Wengi wa wasomali hawa wamekuwa wakifikia kwenye famiia zenye asili ya Somalia.
Kwa utafiti nilioufanya wasomali hao wamekuwa wakifichwa ndani ya familia hizo kwa muda wa miezi sita au zaidi huku wakifundishwa kuzungumza lugha ya kiswahili kwa ufasaha. Baada ya kufahamu lugha vizuri huwa wanawatafutia vitambulisho vya mkazi na kujenga nyumba kwenye makazi tofauti na yale ya mwanzo na kuendelea na maisha kama mtanzania wa kawaida. Kitovu kikubwa cha kuhifadhi raia hao ni Ngaramtoni ya juu na Ar mjini.
Siku moja rafiki yangu kutoka Ngarmtoni alininiambia kuwa kuna ndugu yake ambaye ni mlinzi huko ngaramtoni amekuwa akiwaona watu wenye asili ya kisomali wakienda msikitini kusali kila siku saa kumi na moja alfajiri lakini saa ya kutoka wamekuwa wakija kuchukuliwa na Gari aina ya noah yenye vioo vyeusi hali iliyomtia mashaka.
Rai yangu kwa serikali:
Ninaomba wachukue hatua za haraka kwani hawa watu wanaweza kutuletea balaa kubwa sana ikiwemo swala la ugaidi. Wanawake wa kisomali ni rahisi kutembea popote bila kugundulika kwani wamekuwa wakivaa mavazi ya kufunika uso maarufu kwa jina la ninja.
Serikali ifanye haraka sana Operation Kimbunga Ar ili Tanzania na watu wake wabaki salama.