Serikali ichunguze ubora wa betri za Tiger

Shetemba

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
887
891
Kuna hizi betri za kampuni ya TIger kwa kweli kama unataka kuozesha kifaa chako aidha tochi au remote usinunue hizi betri, baada ya siku chache utakuta zimevuja.

Tunaomba serikali kupitia wakala wake wa viwango wafanye ukaguzi hizi betri.
 
Tumia za Mo bei nafuu na zina nguvu sana.
Kuna hizi betri za kampuni ya tiger kwa kweli kama unataka kuozesha kifaa chako aidha tochi au remote usinunue hizi betri, baada ya siku chache utakuta zimevuja, tunaomba serikali kupitia wakala wake wa viwango wafanye ukaguzi hizi betri.
 
Betri za aina nyingi tu ambazo ni fake zipo zimejaa tele madukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…