Serikali ichunguze Kilimani Sec School kwanini wana mihula 4?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Serikali chini ya mama Ndalichako ilisema january mtaangalia swala la ada elekezi kwa shule za private. Swala hili kwa ndalichakoo limekuwa gumu inapoonekana hata kuwakamata wahusika ni shida achilia kukaa na kuwadanganya wananchi bungeni kutangaza ada elekezi

Mh mama Prof Ndalichako Watu wanapenda kusomesha wananfunzi huku kwetu shidakubwa wakenya waganda wamekuja Tz nakutumia watz kupiga wananchi

Kuna shule inaitwa kilimani sec school ukweli mlisema mihula. Mitatu.. Hiishule ina mihula minne live nahata mkienda kuwavamia "leo hii wawape mi mihula yao n aibu

Shule ilikuwa chini ya mkenya waliposhtuka ufwatiliaji wamewaweka watz kama ganje lakini jambo lakushangaza mtoto wa la kwanza analipiwa mil 1,8 , nimewahamisha watoto kabisa

Waziri wa elimu kaangalie hili usome nyakati wajanja wanakomaa na kula hela za wananchi mmesema mihula mitatu ushenzi mtupu
 

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,645
2,000
Mkuu shule binafsi ni biashara huria inayoendeshwa na nguvu ya soko. Mzazi kwa hiari yake anaamua kumpeleka mtoto shule X inayotoza kiwango fulani cha ada.

Mzazi anaridhia kulipa ada husika kutokana na huduma anayopata mwanaye. Linganisha bei ya soda kwenye kibanda cha mangi na ya hoteli ya nyota tano.

Ndiyo maana hata waziri ameamua kuachana na ishu ya ada elekezi.
 

shoste

Member
Jul 11, 2015
68
125
SERIKALI CHININYA MAMA NDALICHAKO ILISEMA JANUARY MTAANGALIA SWALA LA ADA ELEKEZI KWA SHULE ZA PRIVATE

SWALA HILI KWA NDALICHAKOO LIMEKUWA GUMU INAPOONEKANA HATA KUWAKAMATA WAHUSIKA NISHIDA ACHILIA KUKAA NANKUWADANGANYA WANANCHI BUNGENI KUTANGAZA ADA ELEKEZI

MH MAMA PROF NDALICHAKO

WATUWANAPENDA KUSOMESHA WANANFUNZI HUKU KWETU SHIDAKUBWA WAKENYA WAGANDA WAMEKUJA TZ NAKUTUMIA WATZ KUPIGA WANANCHI

KUNASHULE INAITWA KILIMANI SEC SCHOOL UKWELI MLISEMA MIHULA. MITATU.. HIISHULE INA MIUHULA MINNE LIVE NAHATA MKIENDA KUWAVAMIA "LEO HII WAWAPE MI MIHULA YAO N AIBU

SHULEILIKUWA CHINIYAMKENYA WALIPOSHTUKA UFWATILIAJI WAMEWAWEKA WATZ KAMA GANJE LAKINI JAMBO LAKISHANGAXA MTOTO WALAKWANZA ANALIPIWA MIL 1,8 **** NIMEWAHAMISHA WATOTO KABISA

WAZIRIWA ELIMU KAANGALIE HILI USOME NYAKATIWAJANJA WANAKOMAA NA KULA HELA ZA WANANCHI MMESEMA MIHULA MITATU USHENZI MTUPU
Serikali inataka shule zote ziwe na mihula miwili na si mitatu, nakusahihisha mimi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom