Bei ya debe la mahindi kwa sasa ni sh. 20,000/= huku kwetu.
Ni bei kubwa kabisa kuwahi kutokea kwa takribani miongo kadhaa iliyopita.
Wakati huo, pesa hakuna. Pesa imekuwa ni ngumu sana kupata. Kwa hiyo, kama Serikali haitachukua hatua sasa, tutegemee Bomu la Atomic kuripuka muda wowote.
Wizi, uporaji, uvunjifu wa amani vinaweza kutapakaa Nchi nzima, maana hakuna Mbadala wa Chakula.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.