Serikali iboreshe miundombinu shule za vijijini

Serikali iboreshe miundombinu shule za vijijini

shitungulu

New Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
4
Reaction score
0
wizara ya elimu na mafunzo ya Urundi mtembelee while za vijijini muone matatizo yanayo wakumba walimu na wanafunzi, walimu hawana nyumba pia vifaa vya kufundishia na kujifunzia havipo (BARIADI).
 
wizara ya elimu na mafunzo ya Urundi mtembelee while za vijijini muone matatizo yanayo wakumba walimu na wanafunzi, walimu hawana nyumba pia vifaa vya kufundishia na kujifunzia havipo (BARIADI).


Je wewe ni mgeni na Jerusalem? Waziri ameshindwa kuboresha shule za jimboni kwake Bagamoyo atakumbuka za Bariadi?
 
Mkuu hapa ni mpaka mabadiliko ya uongozi. Hawa waliopo sasa hv hakuna wa kushughulikia hilo. Wapo bize kugawana deals. Mungu atusaidie sana. Tujiandikishe tupige kura tubadili uongozi tuanze maisha upya. wameshaozesha kila mahala sio elimu tu.
 
Back
Top Bottom