Rajikumar Ashoka
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 150
- 91
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bavicha noma sanaEti hata wewe unachangia hoja! Kajifunze Kiswahili sanifu kwanza ndio uje kuchangia.
Yes nina uhakika dr pombe magufuli ni dictator na pia nna uhakika ni dictator wakuiga na pia nna uhakika anaamini huu ni utawala wake kasahau ni kiongozi sio mtawala ..........
Acha kaujeuri kako kaki ccm! Maji taka ndo nini mupuuzi wewe!!!Mkuu kusema ukweli pia ni kuropoka. Kusifiwa ndio adabu sio... muache siasa za maji taka
Ova
itakuwa vigumu kwa wawekezaji kuja hapa Tanzania kama demokrasia itakufa
Acha kaujeuri kako kaki ccm! Maji taka ndo nini mupuuzi wewe!!!
mkuu Matiko Jr, umeniquote vibaya, nlikuwa najibu hoja ya king otaligambo hapo juu.. msingi wa hoja sisapoti kamata kamata kabisa... na pia sio kada wa hicho Chama cha mabepari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana katibu mkuu wa Chadema alipokamatwa kwenye kikao cha chama chake alifanya makosa. Usiwe na fikira potofu Tanzania ni nchi ya amani na itaendelea kuwa nchi ya amani.Acha kusema serikali inakamata wapinzani ni uongo serikali haikamati wapinzani bali inakamata wahalifu na wachochezi wanaotaka kuikoseha nchi amani hata ww ukifanya ujinga wenye element za aina hiyo utaenda geto ukakae na hao wenzio
Ungeanza kwa kumwambia huyo Magufuli aanze yeye kuchagua maneno anaoyoongea kwenye hadhara na achunge mdogo wake. Akifanya hivyo na wenzake wanamuheshimu. Vinginevyo ategemee mitusi zaidi dhidi yakeWapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem
Sent using Jamii Forums mobile app
Je unataka kumfananisha magufuli na kiongozi wa jimboUngeanza kwa kumwambia huyo Magufuli aanze yeye kuchagua maneno anaoyoongea kwenye hadhara na achunge mdogo wake. Akifanya hivyo na wenzake wanamuheshimu. Vinginevyo ategemee mitusi zaidi dhidi yake
Wewe unaumizwa na kejeli za wapinzani tuu lakini kejeli na matusi ya sizonje na wenzake unaona ni muziki mtamu!Wapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem
Sent using Jamii Forums mobile app
Namlinganisha ma mnywa banana au chibuku. Hana hadhi ya jimbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani hata ww umejicheka ulipokuwa unacommentNamlinganisha ma mnywa banana au chibuku. Hana hadhi ya jimbo
Si kweli,hakuna nchi yenye demokrasia kama Kenya ukanda huu!Ukusema Tanzania nakushangaa tuHili jambo la kukamata viongozi wa upinzani na kunyima dhamana watu wenye kesi mbalimbali imeanza kuleta dosari kwa serikali ya awamu ya tano.
Mheshimwa Rais Magufuli angalia sana suala hili kwani imeanza kuweka dosari kwenye legacy ya utawala wako.
Unafanya mazuri kwa watanzania maoni ya wapinzani ni muhimu kwa kurekebisha mabaya kwenye serikali yako. Kumbuka ulivyomsifia Kafulila alivyoibua hoja ya Escrow wakati akiwa mbunge wa upinzani bungeni.
Tanzania ilikuwa ni nchi pekee kwenye ukanda huu katika kutimiza demokrasia ya kweli itakuwa vigumu kwa wawekezaji kuja hapa Tanzania kama demokrasia itakufa
Hili jambo la kukamata viongozi wa upinzani na kunyima dhamana watu wenye kesi mbalimbali imeanza kuleta dosari kwa serikali ya awamu ya tano.
Mheshimwa Rais Magufuli angalia sana suala hili kwani imeanza kuweka dosari kwenye legacy ya utawala wako.
Unafanya mazuri kwa watanzania maoni ya wapinzani ni muhimu kwa kurekebisha mabaya kwenye serikali yako. Kumbuka ulivyomsifia Kafulila alivyoibua hoja ya Escrow wakati akiwa mbunge wa upinzani bungeni.
Tanzania ilikuwa ni nchi pekee kwenye ukanda huu katika kutimiza demokrasia ya kweli itakuwa vigumu kwa wawekezaji kuja hapa Tanzania kama demokrasia itakufa
Poa mkuu nisamehe make kiukweli tuna hasila na huu mfumo mbaya wa kutoka Rwanda!Ina maana katibu mkuu wa Chadema alipokamatwa kwenye kikao cha chama chake alifanya makosa. Usiwe na fikira potofu Tanzania ni nchi ya amani na itaendelea kuwa nchi ya amani.
We najuwa umetumwa na riccm!! Namnpenda kuombwa samahani haya samahaniUngeanza kwa kumwambia huyo Magufuli aanze yeye kuchagua maneno anaoyoongea kwenye hadhara na achunge mdogo wake. Akifanya hivyo na wenzake wanamuheshimu. Vinginevyo ategemee mitusi zaidi dhidi yake