Historia ni mwalimu mzuri hakuna dictator aliondoka salamaWapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Magu ana inferiority complex ni shiida. Uchaguzi watu wanachagua bila tafakari ya hatma yao.MAJANGA.Wapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kusema ukweli pia ni kuropoka. Kusifiwa ndio adabu sio... muache siasa za maji takaWapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ntaungana na hoja yako ikiwa muhula wake utaisha hali ikiwa haijabadilika.Mkuu Magu ana inferiority complex ni shiida. Uchaguzi watu wanachagua bila tafakari ya hatma yao.MAJANGA.
Basi kama unachokiamini unasema ukweli. Simamia huo huo ukweliMkuu kusema ukweli pia ni kuropoka. Kusifiwa ndio adabu sio... muache siasa za maji taka
Ova
Siwezi kudhibitisha pengine labda inawezekana ni kweli.Inawezekana siyo Dictator ila inferiority complex inamsumbua.
Aya bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti hata wewe unachangia hoja! Kajifunze Kiswahili sanifu kwanza ndio uje kuchangia.Wapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotumia Bomu kujua panya lazima uambiwemkiacha kutetea wazungu sawa