Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,097
- 53,485
Watanzania wana matatizo mengi, makubwa na mazito kuliko hili la madawa ya kulevya.
Mamilioni ya watanzania hawana huduma bora za jamii kama elimu, afya, maji safi na salama, miundombinu. Ila serikali inapoteza muda kwenye mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Wanaotumia madawa ni wachache mno sidhani kama wanafika laki moja ambao hawawezi kulisumbua taifa.
Tusipoteze muda kwenye mambo yasiyo ya msingi, wananchi wanahitaji maendeleo na sio sinema za kitoto..
Madawa ya kulevya ni sinema ya ki.puu.zi inayoifanya serikali ipoteze rasilimali muhimu ambazo zingetumika kwenye mambo mengine ya kuwaletea wananchi maendeleo.