serikali i tiifu kwa wezi nakatili kwa watanzania

liganga4

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
293
195
kwa muda mrefu nimefuatilia maswala mbalimbli kama mtanganyika kama serikali invyo baka mishahara ya wafanyakazi, ilivyo lazimisha kuingia kwa net group, rcmond kisha do once, jinsi ilpoamua kuwa lipa wanunuzi wapamba na siyowakulima nainvyo tumia nguvu kpambana na wanaodai haki za kuliko kushughulikia rasilimali zetu kama madini na samaki wa magufuli. nawasilisha.
 
Back
Top Bottom