the ultimatum
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 419
- 142
Baada ya muda wa kawaida tuliozoea wa kupokea mishahara yetu kupita hatimaye mshahara umeingia ila cha kushangaza ni kitu kimoja na ningeomba na walimu wengine mlitazame hili ili tuweke kumbukumbu sawa, hususani kwa walimu walioajiriwa katika mwaka huu na wenye ngazi ya degree kwani naamini daraja la mishahara tutakuwa tunafanana.
Mshahara ulioingia leo tar 30/11/2013 kwa wilaya ya Mwanga. umepunguzwa 50,000/= nzima.
Naomba walimu waangalie mishahara yao halafu waje wathibitishe hapa jukwaani.
Vinginevyo wahusika watuambie kwanini mshahara umeingia pungufu. Inamaana kale kanyongeza kadogo ka mwaka huu kalikuwa ni danganya toto, au ndio mmeamua kuchukua mishahara halali ya walimu kufidia deni la serikali la trillioni 22.

mtaalam ...wameshaanza kukata hela ya mkopo wa loan board ''HESLB" wenzako shazoea sasa..ila at first inakuwa kama umepigwa gumi la tumbo
Loan inakatwa baada ya miaka miwili kupita, mimi ninamiezi tisa tu tangu kuajiliwa
No mkuu...the fact is loan board, wamebanwa na hii issue ya madogo kuwa eligible kupata mkopo and yet wakawa hawana fund za kucover the whole number...KAMA UTAKUMBUKA MALALAMIKO YALIKUWA MENGI..na wakaahidi kuwa watafanya means wawape wote...'''SASA HIYO ALTERNATIVE ILIKUWA KUFYATUA MADENI NO MATTER UKO KAZINI MDA GANI"""calculate hiyo hela waliyoikata ikifika miaka kumi bado wengi watakuwa hawajamaliza deni'' na deni linataliwa lilipwe in ten years time....SUBIRI SALARY SLIP MKUU au nenda utumishi halmashauri yako ukatake ufafanuzi mkuu....
Heslb wanakata muda wowote mkuu sio lazima itimie miaka 2.lakini wanakata 37536
Loan inakatwa baada ya miaka miwili kupita, mimi ninamiezi tisa tu tangu kuajiliwa
Wanaanza kukata mwaka moja baada ya kumaliza chuo,kaangalie salary slip makato yako yamelipia nini ndio uje na hoja humu jf,si kukurupuka
Acha kulialia ni bodi ya mikopo wanafanya yao
Hapa umeonyesha ualimu wako katika rangi halisi.Punguza mihemko pimbi we!!
Hapa hoja ni kuangalia salary slip, sasa hayo ya kukurupuka yanakujaje?? Na kama nitakuta pesa walizonikata si za HESLB??? Au unajiona unahati miliki na JF? n.y.a.m.b.a.f!!!
Punguza mihemko pimbi we!!
Hapa hoja ni kuangalia salary slip, sasa hayo ya kukurupuka yanakujaje?? Na kama nitakuta pesa walizonikata si za HESLB??? Au unajiona unahati miliki na JF? n.y.a.m.b.a.f!!!
We kama ni mwalimu basi huna maadili.Kazi itakushinda mapema,unaonekana una mihemuko ya kitoto sana.Jichunguze vizuri huna mda kwenye fani hiyo ya ualimu.Pole.
Hapa umeonyesha ualimu wako katika rangi halisi. Tofauti yako na Mlugo unayemkandia ni ipi?
Sentensi ya kwanza iko sahihi. Ila senetensi ya pili iliingizwa kimakosa , nimeiondoaLabda tusaidiane nisehemu gani ameongelewa Mulugo kwenye uzi niliouweka!!! Au nawewe ni mihemko!!?