ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Naibu waziri alipiga marufuku matunda haya yanayokatwa vipande kuuzwa barabaran lakini mbona ni muda sasa na hili swala bado linaendelea maeneo ya mtaani. Ina maana serikali hii haina wafuatiliaji au zilikuwa mbwembwe tu na maonyesho ya serikal ya sifa