Sasa kwani ni lazima usafiri na fastjet ndugu yangu? Tumia Bombardier za ATCL au Precision Air. Ndiyo maana ya soko huria, ukiona wanakuzingua; unawapiga chini tu na maisha yanaendelea.Muheshimiwa Waziri anayehusika na uchukuzi tafadhari tunaomba muifutie leseni hii kampuni ya Fastjet maana imejaa utapeli wa kiwango cha hali ya juu sana, kuahirisha safari kwao sasa hata kwa masaa14 ni jambo la kawaida bila kujali athari anazopata mteja.Fidia pekee anayopata mteja ni shilingi elfu 15 tena kwa dharau wanakwambia ya kiburudisho.Tunajua sasa hivi wanatuchelewesha ila kwa wanavyolipua mambo si bure kuna siku watatuangusha kabisa
Jamaa hana muda wa kutest huduma. Ndo mara yake ya kwanza na gundu lakeSasa kwani ni lazima usafiri na fastjet ndugu yangu? Tumia Bombardier za ATCL au Precision Air. Ndiyo maana ya soko huria, ukiona wanakuzingua; unawapiga chini tu na maisha yanaendelea.
Wewe mzushi naona unaweza tu stori za vijiweni wakati wa kukaanga mandazi,Mbon
Mbona Rais wako anaitwa Pombe na anakusomesha namba unakuwa mpole sembuse mzushi
Pumbavu, we need to observe laws and regulationsSasa kwani ni lazima usafiri na fastjet ndugu yangu? Tumia Bombardier za ATCL au Precision Air. Ndiyo maana ya soko huria, ukiona wanakuzingua; unawapiga chini tu na maisha yanaendelea.
Maisha ya mbagala yashamuathiri mtoa mada kashazoea kupanda miusafiri ya kugombea hata umwambie kuna coaster/bombardier hakuelewi tuwaache wafu wazikane.Sasa kwani ni lazima usafiri na fastjet ndugu yangu? Tumia Bombardier za ATCL au Precision Air. Ndiyo maana ya soko huria, ukiona wanakuzingua; unawapiga chini tu na maisha yanaendelea.