Serikali fuateni ushauri wa BAKWATA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali fuateni ushauri wa BAKWATA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anold, Oct 19, 2012.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Fujo zinazoendelea sasa hivi ni matokeo ya uzembe wa serikali kupuuza au kutotaka kuzikiliza ushauri wa Baraza kuu la waislam Tanzania. Mara kadhaa shehe Mkuu amabaye ni mtu anayestahili kusikilizwa amekuwa akitoa ushauri hata kueleza bayana waziwazi kuwa hao wanaojiita wanaharakati ni wahuni na sio wana zuoni kama wanavyojiita.

  Sielewi ugumu na uvumilivu huu wa serikali ni wanini, haiwezekani kabisa baadhi ya wahuni waandamane mpaka wizara ya mambo ya ndani kwa nia ya kushinikizwa matakwa ya uvunjifu wa sheria halafu jeshi la polisi likubali kuwasikiliza kwa kile wanachokiita ni uvumilivu.huu uungwana wa jeshi la Polisi ndiyo unaoleta balaa lote hili, shehe mkuu alitoa tamko na kusikitishwa na upole wa jeshi la polisi lakini hakuna aliyejali, ieleweke wazi kuwa mambo haya na chokochoko hizi zinauwezo wa kuwavutia vikundi vya kihalifu kama alshabab na boko haram. sitaki kuamini kuwa jeshi la polisi lipo kwa ajili ya kusambaratisha wafuasi wa vyama vya siasa na sio wahuni wanaojificha kwenye mgongo wa kidini
   
 2. lincolin

  lincolin Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ulikuwa ushauri mzuri ila tatizo hakuna mwanasiasa wala kiongozi wa kiserikali anaetaka kusema kwasbb ya unafiki wao.Wanaogopa kuwaudhi ili wasikose kura 2015.
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  tumefika walipo pataka, kutoka ni kazi sana
   
 4. M

  Mpwechekule JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna uvumi kuwa fujo zinafanywa na chadema kwa ustadi wa hali ya juu, lakini ukiwauliza serikali haijui hilo na cdm ni hasim mkuu wa serikali? Jibu hamna, tatizo la waisilamu ni mfumo wa kupata uongozi na njaa, kukosa ajira kwa watz wengi hivyo akitokea mchochezi ni rahisi kumbadili mtu ambae jioni hajui atakula nini. NATUMAINI UDHAIFU HUU UTAJITOKEZA KWENYE MAKANISA YA KILOKOKE KWA SABABU YA MFUMO WA KUPATA KIONGOZI NI WA KIENYEJI KAMA WAISILAM, NAYO ITATOKEA MIAKA 10 hadi 20 ijayo, kwa hivyo tatizo sio bakwata ni wachochezi wanaochafua sifa za mtume na uisilam, na ni watu wachache lakini wanaweza ongezeka kwa sababu nilizotaja hapo juu
   
Loading...