Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 727
- 976
Kwanza nipende kuipongeza Serikali kwa kuamua kuwasaidia hawa vijana walioathirika na UKIMWI katika umri mdogo. Ila hamkugundua janja ya wazungu wa red cross kutaka kuwakusanya hawa na kuwasomesha.
Kwa bahati nimebahatika kufanya kazi kwa karibu sana na vyuo vinavyohost hawa watoto. Kuna sehemu niliingia nikakuta wapo kama 300 hivi ndani kuna harufu ya madawa tu. Ilikuwa ni karakana ya ushonaji watoto hawa ni wasichana tu na wote ni waathirika. Bahati nzuri hiki chuo wanachungwa kwani hawaruhusiwi kutoka nje ya chuo.
Kama bahati nikatembelea chuo kingine, hiki nilikuta wasichana 150+ hapa ndo imenifanya nije na huu uzi.
Wale wtoto hawaruhusiwi kuwa nje ya chuo baada ya saa 11 jioni ila wapo free kutoka na kwenda popote muda baada ya masomo na ikumbukwe hiki chuo kina wanachuo jinsia mchanganyiko kama 300 walio wazima, na katika kupeleleza nikaambiwa hawa watoto waathirika ni vicheche kupindukia yaani vinaingia kila gest kila geto havichagui nani wa kwenda naye.
Sasa anzia wanafunzi wenzao, washikaji mtaani, waume za watu nk. Wapo hatarini sana kuambukizwa UKIMWI. Narudia tena hawa wazungu wangetafuta njia mbadala ya kuwasaidia hawa watoto kuliko hii njia.
Sent using Jamii Forums mobile app