Serikaaaaaali vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikaaaaaali vipi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by DAVIES, Dec 30, 2011.

 1. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Jamani wizara ya afya bado hawajatoa majina ya kupangwa vituo vya kazi au wamewatosa walioomba mwenye taarifa zozote mdogo wangu hoi anashindwa kuamua afanye lipi sasa
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sirikaaaaaaaali, haina helaaaaaaaa imefirisikaaaaaaaaaaaaaaa
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwaka ujao ndo serikali itakuwa kwenye hali mbaya zaidi so acheki private sectors
   
 4. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Walimu wamekula benchi sembuse afya...ushauri wa bure we nenda uuze vimadawa baridi phamacy!
   
 5. P

  Peter m m New Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna umuhimu wa kuanzisha mjadala wa ajira tanzania maana hali ni mbaya sector zote!
   
Loading...