Series za kijasusi

Series za kijasusi

Tafuta zifuatazo
1.Athena
2.Heartless city ni nzuri ya madawa ya kulevya mtandao wao ulivyo mgumu kuutelekeza kama bongo tunavyoangaika nao na misamaha kwa watuhumiwa (upelelezi sio ujasusi)
3.Aris
4.Homeland security
5.Conviet affair ni siasa lkn
6.King to heart haina ujasusi ila inaonyesha political influence kwenye nchi changa za korea kusin na kaskazin na vitisho vya marekan
 
Bado hujaona series ww
Tafuta 24 hours season1 mpaka8 na nyingine inatoka mwez Wa 5
Tafuta Nikita 1-4 (imeisha)
Tafuta the intelligence ipo episode ya 7
Tafuta person of interest now season ya 3
 
Habar wa JF
nafta series nzur ya kijasusi, series nzur kama STRiKE BACK,

Tafuta 24 hours season1 mpaka8 na nyingine inatoka mwez Wa 5 tarehe5
Nikita 1-4 (imeisha)
The intelligence ipo episode ya 7
person of interest now season ya 3
Chuck iliishia season5
 
Tafuta 24 hours season1 mpaka8 na nyingine inatoka mwez Wa 5 tarehe5
Nikita 1-4 (imeisha)
The intelligence ipo episode ya 7
person of interest now season ya 3
Chuck iliishia season5

Nikita ni kama naked weapon nilivyoiangalia season one tu.person of interest ni tamu kwan jamaa anatumia taarifa zake zinazotoka kwenye social security mfano NSSF kujua kama unaincome au huna(ajira) na impact yako siku zijazo na huu sio ujasusi huu .
 
Naked weapon?how sababu wote ni wanawake au?
U have no.idea how much conspiracies come up to season 4 aisee
Hata sijaona resemblance unayoiongelea hapo sababu hakuna
Person of interest?tatizo nn ni conspiracies za government against them(Reese na team yake) they found away to get info before the government n bad pipo
 
Yote tisa 24 acha kabisa ile mwisho wa matatizo, nimeangalia toka 2011 ila mpk leo huwa nairudia! Nikiboreka tu ninayo!
 
Back
Top Bottom