Wanajamii naomba msaada mnipe link ya kupakua hii series ya kikorea ya Swallow the sun ikiwa na english subtitle.
Maana nimetafuta bila ya mafanikio,nimeingia hadi kwenye torrents hola au unakuta haina seeders so mwenye link ya kupakua episode nzima nzima siyo zile zenye vipande (parts) atupie hapa.