Sheillah Sheillah JF-Expert Member Joined Jun 17, 2020 Posts 695 Reaction score 1,803 Jul 28, 2020 #1 Habari. Kuna mtu aliyeangalia series ya New Amsterdam? Ninaomba maoni, je ni nzuri? Nataka kudownload hapa nahofia nisije nikapoteza MB zangu.
Habari. Kuna mtu aliyeangalia series ya New Amsterdam? Ninaomba maoni, je ni nzuri? Nataka kudownload hapa nahofia nisije nikapoteza MB zangu.
Nyani Mzungu Member Joined May 29, 2020 Posts 45 Reaction score 58 Jul 28, 2020 #2 Kwann usiangalie New chato haha nimewaza Tu Sorry
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jul 28, 2020 #3 Nyani Mzungu said: Kwann usiangalie New chato haha nimewaza Tu Sorry Click to expand... Mkuu hii ni bangi ya wapi umevuta Leo uwe unatoa mbegu ndo unavuta angalia majibu sasa ndo kama haya😂😂🤣
Nyani Mzungu said: Kwann usiangalie New chato haha nimewaza Tu Sorry Click to expand... Mkuu hii ni bangi ya wapi umevuta Leo uwe unatoa mbegu ndo unavuta angalia majibu sasa ndo kama haya😂😂🤣
Nyani Mzungu Member Joined May 29, 2020 Posts 45 Reaction score 58 Jul 28, 2020 #4 Okwanyo58 said: Mkuu hii ni bangi ya wapi umevuta Leo uwe unatoa mbegu ndo unavuta angalia majibu sasa ndo kama haya[emoji23][emoji23][emoji1787] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]iko poa hiyo series inapatikana TBC tu
Okwanyo58 said: Mkuu hii ni bangi ya wapi umevuta Leo uwe unatoa mbegu ndo unavuta angalia majibu sasa ndo kama haya[emoji23][emoji23][emoji1787] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]iko poa hiyo series inapatikana TBC tu
Sheillah Sheillah JF-Expert Member Joined Jun 17, 2020 Posts 695 Reaction score 1,803 Jul 30, 2020 Thread starter #5 Mrejesho, Ni nzuri sana. Niliamua kuipakua na sasa naiangalia.
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jul 30, 2020 #6 Sheillah Sheillah said: Mrejesho, Ni nzuri sana. Niliamua kuipakua na sasa naiangalia. Click to expand... Mmh Mkuu star wa hiyo series ni nani
Sheillah Sheillah said: Mrejesho, Ni nzuri sana. Niliamua kuipakua na sasa naiangalia. Click to expand... Mmh Mkuu star wa hiyo series ni nani