Series Ya EMPIRE Special Thread...


Mkuuu hiyoo only man on the earth... Nipe short story.... If u dnt mind....

Then download limitless.. Japo imetoka epiaode moja tuu... Ndo imeanza.... Episode ya pili inatoka jumamosi ijayo....
Thn check na hii "the messengers'' hiyoo shedaaaah sanaa.. Imetoka season one... Ya pili sijui inatoka lini...
 
Last edited by a moderator:
karibu sana mkuu
gotham s02e01 imetoka last week jumatano
 

MGuccI The last man on earth ni comedy. Story inaanzia 2020 baada ya virus kuua watu karibu wote. Jamaa mmoja anajikuta yuko mwenyewe lakini baadae anakutana na mwanamke wanakuwa wawili. Wanaoana out of convenience alafu baada ya siku mbili wanakutana na dada mwingine mzuriii, huyu sasa ndo mshkaji anampenda. Na baadae anakuja mwanaume mwingine n.k Competition inaongezeka. Vichekesho vinakuja pale mshkaji anapojitahidi ku-sabotage mambo ili yeye abaki kuwa star kwenye hilo group lao coz kila wanapokutana na mtu mwingine anapoteza attention aliyokuwa anapata.

Limitless ntaangalia maana movie nilipenda. Sema nasubiria zitoke episode mbili tatu alafu ndo nidownload. Ngoja nicheki na hiyo ya 'The messenger' alafu ntakupa mrejesho.
 
Last edited by a moderator:
karibu sana mkuu
gotham s02e01 imetoka last week jumatano

Ngoja nisubiri subiri zitoke episode hata tatu ndo nizitafute. Huwa naboreka kuangalia ka-episode kamoja alafu nisubirie wiki nzima kuona nyingine.
 
Thanks Lizzy nimeipenda hiyooo... I appreciate....
Icheck hiyoo the messengers,, am sure utaipenda sana...
 
Last edited by a moderator:
Guys kuna series moja niliangaliaga two years ago... Inaitwa MISSING .... Nakumbuka niliona season one tuu... season two yake i try to check bt no hope.... Hivi iliishiaga wapi hiii.......
 

The messengers wamei-cancel..Sidhani kama itaendelea
 
The messengers wamei-cancel..Sidhani kama itaendelea

Mmhh why mkuuu.....? Ndo maana naona season two mpaka leo...
Doh.... Hawa jamaaa hawafanyi fair yaani.. Wameona inaendelea kutamy eeehh
 
Guys kuna series moja niliangaliaga two years ago... Inaitwa MISSING .... Nakumbuka niliona season one tuu... season two yake i try to check bt no hope.... Hivi iliishiaga wapi hiii.......
The Missing nayo walii-cancel baada ya season 1. I guess waliona hairudishi kama walivyotarajia.
 
Season 2 Empire imeanza, episode 1 imeoneshwa jana
 
Bansheee hatareee jamaa wanatiana wanapigana ni utamuuu utamuuu utamuuuu hadi kichogoni
 
Duuuh nakosa utamu jamani….
Wakuu nisaidieni location iliyopo Empire S2 na mimi nidownload!!
 
Watch any movie online, google "putlocker movies"
 
Bansheee hatareee jamaa wanatiana wanapigana ni utamuuu utamuuu utamuuuu hadi kichogoni

Hehehehehehe umenifanya nicheke aiaee.... aisee.. Me ananikwaza sana jamal aisee...
What about cookie na yule resbian... Hehe empire ina mambo yaa ajabu samtimes.. Bt ni nzuri sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…