Series: Orphan black

Series: Orphan black

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,106
Reaction score
1,948
Kwa taarifa fupi tuu hii ni bonge moja la series niliitazama zamani kidogo nikaishia kati kutokana na sababu nyingi ila sasa ndio natazama hapa..


Huu mzigo umesimama....
 
Binafsi sikuipenda kwangu ni mbovu
only 3 episode za kwanza ndo zilizonivutia

Kingine nachoshangaa eti squidgame nayo ni nzuri....
 
Binafsi sikuipenda kwangu ni mbovu
only 3 episode za kwanza ndo zilizonivutia

Kingine nachoshangaa eti squidgame nayo ni nzuri....
Squid game ata jina linaonyesha muvi ni mbovu ni kama money heist nayo ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom