Serie A:AC Milan yaona mwezi,Cavani ajiwekea rekodi...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mabao mawili ya Shaarawy yalitosha kuipa ushindi wa pili AC Milan dhidi ya Cagliari. Ni ushindi wa pili wa msimu huu kwa mechi tano. Sasa Milan yashika nafasi ya kumi. Wakati huohuo,mshambuliaji wa Napoli Edinson Cavani amefikisha mabao 99 pale alipofunga mabao matatu jana na kuipa timu yake ushindi wa 3-0 dhidi ya Lazio....
 
napoli wamemfunga SS Lazio Roma na si Parma.
Mabao matatu ambayo ni Dry nikimaanisha hakuna bao la Penati yamefungwa na Edinson Cavani....

Karibu tena.
 
napoli wamemfunga SS Lazio Roma na si Parma.
Mabao matatu ambayo ni Dry nikimaanisha hakuna bao la Penati yamefungwa na Edinson Cavani....

Karibu tena.
Ni kweli. Na Cavani alikosa penati kuelekea bao la nne...
 
napoli wamemfunga SS Lazio Roma na si Parma.
Mabao matatu ambayo ni Dry nikimaanisha hakuna bao la Penati yamefungwa na Edinson Cavani....

Karibu tena.

we kama sio shabiki wa arsenal, yanga au madrid make ndo hawategemeagi penart ili washinde,. Wapinzani wao sasa daa penati kwao kama desturi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom