Serengeti Boys, kichwa cha mwendawazimu kilichopo Sober House kwa muda

Huyu ni mkenya..jaman twajua majiran zet hamna timu..tuombeni tu tuwape wale watoto wanaobak pale bench..maana najua mnataman kusema serengeti ni timu yenuu..na mnachukia pale score bar inapoandika TANZANIA..
 
Hawa ndio wale ndugu zetu wa kisiwani wanaojiita waarab au kujinaaibisha na waarab wa oman... Huwa hawajielewi mpaka leo hii
Kwanza elewa mimi sina na mnasaba na wewe, kwa hivyo si ndugu yako. Ungesema alau kuwa wewe ni mtawala wangu ingeingia akilini. Najua ukweli unauma. Narejea tena Serengeti Boys ni kichwa cha mwenda wazimu mwezi mchanga kwenye kundi la mazezeta.
I think utakuwa ulimpa mtoto wako kuandika hii trend ,siamini kama kweli hizi ndio akili zako
Ni mimi Mzanzibari kinakindaki ninmaeipenda nchi yangu Zanzibar na ninae chukia utawala wa kimabavu wa Tanganyika kwa Zanzibar
Unamilikiwa
Namilikiwa na mapenzi kwa Zanzibar dhidi ya kutawaliwa na Tanganyika
Inawezekana kuna kitu umetoka kukikalia mda huu
Nimetoka msikitini kusali na kuabudu na kuomba vichwa vya wendawazimu Srenegeti Boys wahemkwe wazimu kama vile Serengeti wa kweli
Umetumwa? Roho ya kwa nini inakusumbua pole sana
Sikutumwa wala si hitaji pole yako na wala roho hainisumbui kwa kusema ukweli.
Ukubwa wa ubongo wako ni kama shubiri ndani ya kizibo cha soda.ama kwa hakika umethibitisha unafikiria kwa kutumia unyayo wako.cha kushangaza zaidi we ni mtumwa wa akili zako mwenyewe.wewe sio binaadam bali ni nzi tena wa chooni.unawaza vitu vya chooni tu.
Ukubwa wa ubongo wako ni kama homo habilis kwenye msitu ambaee surayako ni chimbuko la Chipanzi ambae akili yako zaidi ya kula ndizi na kuharibu mazao na pahalapako pa kuishi ya msituni ni ZOO tu
We jamaa mSeinger sana....
Hebu basi nakualika tukoge pamoja ni kuoneshe ya Baraghash
Tunakujua.
Oman ikicheza na Serengeti boys utashangilia Oman.
Tuachie vijana wetu, usiwawangie.
Hujakosea U 17 ya Tanganyika imecheza mara kadhha na Zanzibar na mara sote tunaifunga. Ni wazi kuwa Serengeti boys ikicheza na watu wenye vichwa timamu ni dfhahiri nitwapendelea wao kuliko vichwa vya mwenda wazimuh
 
Inatakiwa afisa uhamiaji wakuchunguze sio bure
Wala si mkazi wa zamzibari huyu!, huyu, ni raia fulani hivi ana kaa mitaa ya Lamu mwenye ghubu dhidi ya amani ya Zanzibar na Umoja wa Kitaifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Asikupe shida Serengeti Boys wanamchemshia dawa yake.
==========
Ila hii " Where we dare to talk openly" ina gharama sana. Yaani unatamani urarue hata avatar ya mtu hivi hivi!
 
Waarabu koko hao wanaotaka kuirudisha Unguja na Pemba eti Oman?! Subiri wabantu tuwafanye mbaya kama nyuma, tena sasa hivi tutasaga nyama zao..
 
hahah! may be laana za kula rambi rambi za kagera na arusha zimehamia kwa serengenga boys
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.

Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na Serengeti boys wataanza kuhemwaka.Watanganyika mjiandae na tenga la kuhifadhia magoli

Mimi simo. Michezo haimo kwente Muungano/ Mkichapwa magoli sumii wala mkishinda sifurahi
Tabia za kiswahili ndio hizi. Ukifanikiwa , wanataka kukushusha uwe chini zaid yao, au uwe sawa na wao. Na wakishindwa watasema lolote tu ili hadhi yako ishuke.
Mtoa post wewe ni mswahili... na hiz ndio tabia zako
 
Back
Top Bottom