Huyu naye naona amekuwa mzembe sana kwenye suala la mavazi na kustiri mwili. Juzi juzi alisahau kuvaa nanii hii na wakati anashuka kwenye gari akasahau kuwa amesahau kuvaa nani hii akajichia mapaparazi wakawahi picha za maeneo, alafu wakazitundika kwenye mtandao, hapo hatujasema tangazo lake la SPN, leo tena hii kwani hakujua kuwa hicho kitop kikilowa kitashuka tu.