Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Serena Williams of United States of America celebrates a point in her Women's Singles Final match against Maria Sharapova of Russia during day fourteen of French Open at Roland Garros on June 8, 2013 in Paris, France.
Unajua nlikaa naangalia hii mechi, katikati ya mapaja ya Serena hizo plasta zinashika pampers au ni nini nikashindwa kupata jibu :sad:
Unajua nlikaa naangalia hii mechi, katikati ya mapaja ya Serena hizo plasta zinashika pampers au ni nini nikashindwa kupata jibu :sad:
Huyu Dada kuna mwaka nilimchumbia ila wazazi wangu wakaniambia nisimuoe coz hajui kupika...
Basi nkaachana nae
Unajua nlikaa naangalia hii mechi, katikati ya mapaja ya Serena hizo plasta zinashika pampers au ni nini nikashindwa kupata jibu :sad:
Doh, me nimemchumbia Sharapova na wazazi wote wamekubaliana na mahusiano yetu, hapo alipo ana mimba yangu ya mwezi mmoja ndio maana hilo dumejike lako limemfunga kiulaini
Sharapova kashindwa kumfunga Serena leo at 31 yrs old, sidhani kama atapata chance tena. (Miss William became the oldest woman to win a major title since Navartilova in 1990 at 33yrs old).Kashinda kiulaini sana mpaka nimemsikitia Sharapova
Huyu Dada kuna mwaka nilimchumbia ila wazazi wangu wakaniambia nisimuoe coz hajui kupika...
Basi nkaachana nae
Congrats to Miss William. Mhh! Hiyo misuli ya huyu dada yetu sio mchezo.
GAME, SET AND MATCH - Williams 6-4 6-4 Sharapova
Not a hint of nerves. A beautifully controlled, crouching topspin backhand gives Williams 40-15 and two Championship points. She closes out appropriately with a searing ace before dropping to her knees in ecstasy.
Ha ha aaaa! labda ilikuwa kheri kwako, kwani wewe ndo ungekuwa baba wa nyumba. Bibie kila siku yupo wenye tournaments na matayarisho. Hamna kelele kwani akikuwahi kabali umekwisha.
Groin kivipi mwana, mbona kwa nyuma hazipo?zinasupport groin.....ila ile ace aliyomaliza nayo si mchezo....198km/hr........