Serekali ni ndg yako wa ukweli wewe mkazi mabondeni

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,061
23,511
Sheria ni lazima ifuate
mkondo wake!!
#SHERIA TUNAZO TABU
IPO WAPI?
SHERIA HIZI
TULIJITUNGIA WENYEYE
ILI KULINDA MAZINGIRA
YETU.
SEREKALI ITABAKI
KUSIMAMIA SHERIA
ZILIZOPO NA
HAITAOGOPA VITISHO!
TAFADHALI MAHAKAMA
ZETU ZIZINGATIE SHERIA
ZILIZOPO!
RAIS AU WAZIRI SI
MTUNZI WA SHERIA
ZILIZOPO #BALI NI
WATENDAJI NA
WATEKELEZAJI TU.
---->>IKUMBUKWE HII SIO
SEREKALI DHAIFU, NI
SEREKALI INAYOFUATA
SHERIA ZILIZOPO!!!.
**TUSIPOYAREKEBISHA
SASA NI NANI ATAKUJA
LAUMIWA?**
**WAZOMBWAPO NA MAJI
PIA HUANZA KULIA LIA
HOVYO NA KUOMBA
MISAADA!
ii
 
msema kweli kipenzi cha maulana.
n.b
****
hapa hazitafutwi kura, bali inazingatiwa hali halisi inalinganishwa na maafa yaliyowahi kutokea katika siku za usoni!!
hii siyo serekali ya zima moto!,ni serekali inayofanya kweli daima.
 
Last edited:
Sheria ni lazima ifuate
mkondo wake!!
#SHERIA TUNAZO TABU
IPO WAPI?
SHERIA HIZI
TULIJITUNGIA WENYEYE
ILI KULINDA MAZINGIRA
YETU.
SEREKALI ITABAKI
KUSIMAMIA SHERIA
ZILIZOPO NA
HAITAOGOPA VITISHO!
TAFADHALI MAHAKAMA
ZETU ZIZINGATIE SHERIA
ZILIZOPO!
RAIS AU WAZIRI SI
MTUNZI WA SHERIA
ZILIZOPO #BALI NI
WATENDAJI NA
WATEKELEZAJI TU.
---->>IKUMBUKWE HII SIO
SEREKALI DHAIFU, NI
SEREKALI INAYOFUATA
SHERIA ZILIZOPO!!!.
**TUSIPOYAREKEBISHA
SASA NI NANI ATAKUJA
LAUMIWA?**
**WAZOMBWAPO NA MAJI
PIA HUANZA KULIA LIA
HOVYO NA KUOMBA
MISAADA!
ii
Ni sawa lkn kwa kuzingatia haki za binadamu. Kumfukuza mtu km popo kwamba ajijue atakapo ishi si utu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom