Serekali na utapeli wa elimu

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Ndugu wa Tanzania nimasikitiko makubwa Sana serekali ina fanya mzaha kwenye sekta ya elimu juzi tumeona naibu waziri wa elimu akizifungia baadhi ya shule kwakukosa sifa ya kuziendesha kwa mfano shule kuanzishwa bila kysajiliwa watoto wanakaa miaka 4 Wanalipa pesa ya mtihani siku ya mtihani wanaambiwa haiwezekani kufanya mtihani shule haina usajili adhabu anayopewa huyu mmilki nikuambiwa funga shule Mimi naona hiyo haitoshi huyo ni mwizi Kama waizi wengine hivyo nilitarajia mmiliki ange kamatwa na kufikishwa mbele ya sharia kujibu shitaka la uizi wakuaminika,
Nai
Naomba mawazo yenu wadau
 
Ni sahidi kabisa, huyo anakuwa mwizi, lakini maajabu serikali inaishia kufunga shule tu bila kumshtaki muhusika. Kweli tanzania unaweza ukaiba na ukaachiwa mtaani.
 
Back
Top Bottom