madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,453
- 2,849
Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa gharama wanazozijua wenyewe
Ushauri serikali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajue gharama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia gharama za matibabu hewa
Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui
Bima za Afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini