SEREKALI amkeni! Hospitali zinazotumia Bima zinawaibia

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
2,454
2,848
Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa gharama wanazozijua wenyewe

Ushauri serikali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajue gharama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia gharama za matibabu hewa

Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui

Bima za Afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
 
Usicho kijua bima kupigwa hakutaisha sbb hospital zenyewe zinategemea pesa za BIMA kujiendesha,
 
Wao watu wa BIMA,wanaamini mtu anayeenda kupata matibabu ndiye anawafanyia janjajanja,lakini kiukweli BIMA wanapigwa kotekote,yaani kwa mgonjwa na muda mwungine wasimamizi wa hiyo BIMA,yaani watumishi wa afya.
 
Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushaur wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na garama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa garama wanazozijua wenyewe

Ushaur serekali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajuae garama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia garama za matibabu hewa

Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui

Bima za afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
Sasa hapa kupigwa kuko wapi?
 
Watanzania hebu tupunguze ujuaji.
NHIF ndio wanaohusika kupanga bei za vipimo na sio mtoa matibabu.
Mrdt ni sh. 2000, FBP ni tsh elf 8000, kadhalika vipimo vingine vyooote vina bei elekezi.
Mtoa Mada hebu tuambie hiyo hospital inaiba namna gani?
Njia pekee ya kuiba labda ni Kuongeza vipimo visivyohitajika na hata hivyo umesema kua mgonjwa wako alifanyiwa vipimo stahiki, kwa hiyo hakukua na ongezeko la vipimo.
Wakati mwingine hua naona NHIF wanavowaminya wanachama wake ni sawa tu, maana mmezidi ujuaji na upuuzi.
 
Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa gharama wanazozijua wenyewe

Ushauri serikali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajue gharama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia gharama za matibabu hewa

Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui

Bima za Afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
Serikali unaihurumia kwan ya babako,, wanavyotunyoosha hvyo kwa bei mbaya y
Mafuta na Hali ngumu ya maisha wee ya nn sasas,, acha nao wanyoooshwe to
 
Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa gharama wanazozijua wenyewe

Ushauri serikali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajue gharama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia gharama za matibabu hewa

Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui

Bima za Afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
Lakini Rahisi si aliruhusu watu wale kwa urefu wa kamba yao,?
 
Pia wana bambika magonjwa au vipimo vikubwa
 
Watanzania hebu tupunguze ujuaji.
NHIF ndio wanaohusika kupanga bei za vipimo na sio mtoa matibabu.
Mrdt ni sh. 2000, FBP ni tsh elf 8000, kadhalika vipimo vingine vyooote vina bei elekezi.
Mtoa Mada hebu tuambie hiyo hospital inaiba namna gani?
Njia pekee ya kuiba labda ni Kuongeza vipimo visivyohitajika na hata hivyo umesema kua mgonjwa wako alifanyiwa vipimo stahiki, kwa hiyo hakukua na ongezeko la vipimo.
Wakati mwingine hua naona NHIF wanavowaminya wanachama wake ni sawa tu, maana mmezidi ujuaji na upuuzi.
Ah kumbe unajua na dawa hewa pia zinaandikwa
 
Inabidi waandike vipimo....wampatie mgonjwa na risiti ya EFD kabisa ili afahamu gharama zake
 
1. Madaktari wengi hawajazi Majina vizuri yasomeke na Namba zao hawaweki Kwenye Form na Kusign.

2. Ile form haifungwi Kwa Z closure Ili kitu kingine kisiongezeke.

3. Wagonjwa hatujui dawa Gani zimezuiliwa na NHIF. Madaktari wanatuambi "kuna hii dawa ni Nzuri ingekusaidia ila NHIF wameizuia hivyo ukitaka utainunua".

4. Kuna Limitation ya Dawa. Hupewi Dawa za Kumaliza Dozi. Eti Bima Hairuhusu. Hivyo kumaliza Dozi inabidi urudi Tena umuone Docta halafu akuandikie Upya.

5. General Doctor anakuandikia dawa unaenda pharmacy wanakuambia ulipie dawa Kwa sababu hujaandikiwa na Specialist. Ukirudi Kwa Doctor anakuambia ndiyo ilivyo. Sasa Kwa Nini akuandikie dawa ambazo hastahili kukuandikia badala yakuku-refer Kwa specialist?
 
NHIF iondoe hospital binafsi kwenye bima, hospital nyingi zitajifia
 
Watanzania hebu tupunguze ujuaji.
NHIF ndio wanaohusika kupanga bei za vipimo na sio mtoa matibabu.
Mrdt ni sh. 2000, FBP ni tsh elf 8000, kadhalika vipimo vingine vyooote vina bei elekezi.
Mtoa Mada hebu tuambie hiyo hospital inaiba namna gani?
Njia pekee ya kuiba labda ni Kuongeza vipimo visivyohitajika na hata hivyo umesema kua mgonjwa wako alifanyiwa vipimo stahiki, kwa hiyo hakukua na ongezeko la vipimo.
Wakati mwingine hua naona NHIF wanavowaminya wanachama wake ni sawa tu, maana mmezidi ujuaji na upuuzi.
Umekurupuka.
Kasema fomu anayopewa mteja haijazwi, inaachwa wazi hivyo kuipa nafasi hospital kuongeza
 
Hahahaaaa.Nimecheka Kwa sababu mtoa hoja anadhani kuwa hizo Hospital zinaiba zenyewe bila ushiriki wa watumishi wa NHIF.Ukweli ni kuwa hao wote wanashirikiana kuuibia mfuko.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom