Enhee kulikoni? ebu tupe sababu.Huu wimbo umenikaa hii wiki nzima ♡
Hata sielewi labda napenda nisipopendwa lol [emoji23][emoji23]Enhee kulikoni? ebu tupe sababu.
Ushauri wa haraka usiendelee kuchelewaa, we serebukaaaaaHata sielewi labda napenda nisipopendwa lol [emoji23][emoji23]
Ushauri wa haraka usiendelee kuchelewaa, we serebukaaaaa
Sidhani Kama anaweza kutokea hukuNaona kama kuna dalili za mtu wa jf kuangukiwa na zali la mentali hapa. Kama unajua kubebisha jaribu bahati yako, mlango wa upendo wa Mzigua90 unaonekana upo wazi kama bahari ya Oysterbay.[emoji6]
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Ugali nyama