Sera za wanasiasa wetu ni zipi?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
kwa kiwango fulani navutiwa na mapambano ya kunadi sera na mikakati ya kisiasa inayoendelea nchini Marekani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.

Lakini wanasiasa zetu huwa tunawachagua kwa sera zao kutingia akilini au inakuwaje? Na kama huwa tunawachagua kwa ubora wa sera zao ni nani anaweza kutusaidia kufafanua kuhusu:

Sera za wanasiasa wetu kuhusu Uchumi,kilimo,elimu,Afya,mahusiano na nchi nyingine,ulinzi na kama sera hizo zinatekelezeka au ni blah blah za kuombea kura!hapa sizungumzii Ilani za uchaguzi ambazo wengine tayari wameshakana kuhusika kuziandaa
 
Back
Top Bottom