Sera za kuwabeba "masikini" zinaua miji

Hili ni Tatizo Kubwa sana, kwani hawezi kujisaidia wenyewe wala Serikali, ndio maana nchi zinazoendelea kwa kasi wanachukua wale wacheche wanaotaka kukua kibiashara na elimu ili wawavute masikini, ndio maana serikali hizo huweka mishahara mizuri kwa wafanya kazi na kuweka punguzo Kubwa kwa wafanyabiashara ili walioko chini wavutiwe na kujitahidi wafike juu, ila kuwaruhusu wafanye wanavyotaka wataharibu hata vinavyotengenezwa sasa, ni viziri Serikali ianze kuwawekea utaratibu sasa.
 
Sio kuua miji tu bali hizi sera zilizojaa maamuzi ya kisiasa ndani yake,zinaua nguvu kazi ya Taifa huko vijijini.Huwa tunajinasibu zaidi ya 70% ya Watanzania pamoja na uchumi wa nchi unategemea kilimo.Kilimo kinafanyika vijijini,sasa kwa hizi sera za kurahisisha watu kuja mijini pasipo kuwabana,kama ilivyokuwa zamani kukamata wazururaji,inafanya vijana wakimbilie mijini na kuacha wazee ndio wanapambana na kilimo mashambani.
 
Unaongea ukweli,nenda stand mpya ya Mbezi after a week utaniambia. Pita maeneo ya posta sasa hivi uone jinsi mambo yanavyoenda hobela hobela ..
Stendi ya Dodoma nanenane umeenda mkuu? yaani ni aibu sana, vibanda vya maturubai ndani ya stendi nzuri kama ile. Kwanini wasiwe wanajenga vifremu vidogo vidogo kwaajili ya hao wanyonge wenye mitaji midogo.
 
Sio kuua miji tu bali hizi sera zilizojaa maamuzi ya kisiasa ndani yake,zinaua nguvu kazi ya Taifa huko vijijini.Huwa tunajinasibu zaidi ya 70% ya Watanzania pamoja na uchumi wa nchi unategemea kilimo.Kilimo kinafanyika vijijini,sasa kwa hizi sera za kurahisisha watu kuja mijini pasipo kuwabana,kama ilivyokuwa zamani kukamata wazururaji,inafanya vijana wakimbilie mijini na kuacha wazee ndio wanapambana na kilimo mashambani.
Ni vyema serikali ijikite katika kuondoa umasikini kiukweli na siyo hii cheap populism.
Umasikini sasa hivi imekuwa mtaji wa watu kufanya wapendavyo.
Watu wanajisaidia mitaroni bila aibu halafu tunategemea Hamashauri ziende kuzoa huo uchafu!

Tulifikirie kimakini zaidi suaa la kuondoa umasikini, na si hii machinga , mama ntilie appeasing!
 
View attachment 1714616

Sasa hivi kuna sera zisizo rasmi za kuwabeba ati watu "masikini".
Nawawekea mfungo hao "masikini" maana hata definition yao katika jamii hawajulinani.

Humo kuna mama lishe, machinga na wengine wengi.

Kundi hili kwa sasa, hasa jiji la DSM , limeendekeza uchafuzi wa mazingira mkubwa sana.

Tatizo la hao "masikini" wamepewa open cheque ya kufanya lolote wanalotaka Jijini.
Wanaweza fungua biashara popote
Wanaweza kwenda haja popote
Wanaziba mitaro ya maji ya mvua
Hawazoi taka zao.
Hawalipi kodi yoyote.
Hawataki kudhibitiwa kwa aina yoyote ile kiutaratibu.
Walijengewa Machinga Complex kule Ilala lakini wako wanang'ang'ania barabarani.

Kiujumla hawa "masikini" wanaweza kuwa mtaji wa kisiasa lakini ni kero kubwa kwa watendaji Jijini.

Hili sasa limesha kuwa tatizo la kisiasa.
Well said
 
Hakuna machinga au mama lishe aliye epuka umasikini... Biashara zao zinawafanya masikini siku nenda rudi.

Kuna wamama tangu nasoma chekechea mpk leo bado wanauza vitumbua na maisha yao yako Vilevile.

Serikali haina mbinu za kuondoa umasikini
Hao ndo wamama waliozaa hao unawaita maskin...yaan mtanzania ukianza kushika vi lak mbil mbili unaona umeyapatia...pumbav sana we jamaa
 
Tatizo la kukosa mipango

Empowerment ni kitu kizuri, lakini kilichopo sasa hivi ni uholela tu. Kama wanataka watu wafanye biashara kando kando ya barabara, waweke hiyo mipango kwenye hizo barabara. Sasa hivi, barabara inajengwa na sehemu ya waenda kwa miguu, muda si muda zinageuka sehemu ya watu kuweka biashara. Watu wanakosa kwa kupita.
 
View attachment 1714616

Sasa hivi kuna sera zisizo rasmi za kuwabeba ati watu "masikini".
Nawawekea mfungo hao "masikini" maana hata definition yao katika jamii hawajulinani.

Humo kuna mama lishe, machinga na wengine wengi.

Kundi hili kwa sasa, hasa jiji la DSM , limeendekeza uchafuzi wa mazingira mkubwa sana.

Tatizo la hao "masikini" wamepewa open cheque ya kufanya lolote wanalotaka Jijini.
Wanaweza fungua biashara popote
Wanaweza kwenda haja popote
Wanaziba mitaro ya maji ya mvua
Hawazoi taka zao.
Hawalipi kodi yoyote.
Hawataki kudhibitiwa kwa aina yoyote ile kiutaratibu.
Walijengewa Machinga Complex kule Ilala lakini wako wanang'ang'ania barabarani.

Kiujumla hawa "masikini" wanaweza kuwa mtaji wa kisiasa lakini ni kero kubwa kwa watendaji Jijini.

Hili sasa limesha kuwa tatizo la kisiasa.
Hiv wew jamaa.samahan sana ..hapo kwenye jamaa kulikua na tusi moja la nguon kabisa

Naomba nikuulize swal..unaifaham hal ya kiuchumi ya nchi yako..pato lake la ndan na la nje. Halaf pia unaifaham hali ya kiuchumi ya wananchi wa nchi yako vzur...unafaham ni idad gan ya wananchi wa taifa hili wenye elimu ya sekondar na elimu ya darasa la saba..na pia unafaham tanzania hii ukitoa majiji ambayo infact hayana hadhi hzo..idad kubwa ya watu wako nje ya miji .na pia unafaham pato la mwananchi kwa siku moja...inaonekana mtoa mada ni mpumbav flan usiejua kitu...

Hebu nakuomba...fanya tafiti inchi za ulimwengu wa pili na tatu ..china.india...zile tiger countries.malaysia.philipines etc etc..

Katika miji yao je hakuna machinga?hakuna hao wapanga biashara barabaran?

Usifananishe mazingira ya nchi za dunia ya kwanza.ulaya na marekan mazingira yao ukayaleta huku kwenye taifa maskin kuliko dunian ambalo hata panadol ni tatzo

Mimi nakwambia ukwel..niko vzur..nina almost kila kitu kijana mtanzania ana wish kuwa nacho....na nishatembea huko unakohis ndo kuna maisha bora...lakin hata sku1 sjatowai wala stothubutu kutamka au kuandika ulichoandika...

Rais maguful si mjinga kuachia watu wa hilo daraja kufanya wanavyofanya..hao ndio wanasomesha watoto..hao ndio engine ya uchumi tanzania..kama hilo hujui sawa

Nchi kama tanzania ambayo hata nzi ma mbu bado ni tatzo.haijafikia level hyo ya majij kama unavyotaka wewe..wakifanya hvyo unavyotaka wew tutajenga wimbi la mabalaa na matukio ambayo nchi zingne zinajuta sasa hiv...gap la tajir na maski. Litakua kubwa snaa...

Hatua hto unayoitka wew ni nzur si mbaya ila si sasa..labda baada ya miaka 20..

Sjui wew mtoa mada umenielewa.
 
Ninyi ndo mnapotosha hata maana ya umasikini na namna ya kuutatua.
Hao machinga mbona hamuwaruhusu wapange bidhaa zao kati kati ya barabara ili wapate sehemu nzuri zaidi kuuza bidhaa zao.
Wange panga bidhaa ,kwa mfano barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo rd, Morogoro rd!
Hapo hukosi wateja wa kumuondolea machinga umasikini!
Lakini je ? Hivi ndio miji inavyopaswa kuendeshwa?

Its a very parochial view ya kutatua umasikini , ati kuruhusu masikini wafanye wapendalo, kwa vile tu ni mtaji wa kisiasa, na wanajipatia chochote.

Ok! sasa mitaro jijini imejaa taka za achinga, nani akasafishe ?

Hivi Tanzania tunawapenda masikini? au tunauchukia umasikini?
Na tuna sera zipi kutatua tatizo hili?
Kama mtu hana solution ya kutatua matatizo, kuyaruhusu kushamiri nalo ni tatizo.

Leo vijana masikini wanafurika jijini bila kikwazo, tunataka wote wawe machinga na mama lishe?
Na pengine kutatua tatizo la ajira nchini ni watu kufurika jijini Darna kuanzisha banda kando kando au katikati ya barabara?
Its a very poor foresight.
 
Mfano mzuri bararbara ya Uhuru maeneo ya soko la ilala. Sasa hivi wauza mboga mboga wamehamia pembezoni mwa barabara kiasi kwamba ukipita unaweza hata kanyaga bidhaa za mtu iwe ugomvi. Hii bughudha imekuwa kwa wote waendesha magari hata watembea kwa miguu. Ukiuliza unaambiwa "maskini" wasisumbuliwe. Lakini kwa tafsiri ya haraka hao wanaoitwa maskini wasumbue wengine.
 
Hiv wew jamaa.samahan sana ..hapo kwenye jamaa kulikua na tusi moja la nguon kabisa

Naomba nikuulize swal..unaifaham hal ya kiuchumi ya nchi yako..pato lake la ndan na la nje. Halaf pia unaifaham hali ya kiuchumi ya wananchi wa nchi yako vzur...unafaham ni idad gan ya wananchi wa taifa hili wenye elimu ya sekondar na elimu ya darasa la saba..na pia unafaham tanzania hii ukitoa majiji ambayo infact hayana hadhi hzo..idad kubwa ya watu wako nje ya miji .na pia unafaham pato la mwananchi kwa siku moja...inaonekana mtoa mada ni mpumbav flan usiejua kitu...

Hebu nakuomba...fanya tafiti inchi za ulimwengu wa pili na tatu ..china.india...zile tiger countries.malaysia.philipines etc etc..

Katika miji yao je hakuna machinga?hakuna hao wapanga biashara barabaran?

Usifananishe mazingira ya nchi za dunia ya kwanza.ulaya na marekan mazingira yao ukayaleta huku kwenye taifa maskin kuliko dunian ambalo hata panadol ni tatzo

Mimi nakwambia ukwel..niko vzur..nina almost kila kitu kijana mtanzania ana wish kuwa nacho....na nishatembea huko unakohis ndo kuna maisha bora...lakin hata sku1 sjatowai wala stothubutu kutamka au kuandika ulichoandika...

Rais maguful si mjinga kuachia watu wa hilo daraja kufanya wanavyofanya..hao ndio wanasomesha watoto..hao ndio engine ya uchumi tanzania..kama hilo hujui sawa

Nchi kama tanzania ambayo hata nzi ma mbu bado ni tatzo.haijafikia level hyo ya majij kama unavyotaka wewe..wakifanya hvyo unavyotaka wew tutajenga wimbi la mabalaa na matukio ambayo nchi zingne zinajuta sasa hiv...gap la tajir na maski. Litakua kubwa snaa...

Hatua hto unayoitka wew ni nzur si mbaya ila si sasa..labda baada ya miaka 20..

Sjui wew mtoa mada umenielewa.
Kifupi. Huijui dunia. Hujafika China wala kwenye nchi za Asian Tigers. Muhimu zaidi huhitaji kwenda huko. Taarifa nyingi zinapatikana kupitia vyanzo vya kuaminika duniani kote. Unahitaji tu kuwa makini (serious), mkweli na mtafutaji mzuri wa taarifa. Pia uwe na uwezo mzuri wa uchambuzi wa uchumi mpana (macroeconomic analysis). Halafu uone kama mpangilio tulio nao hapa unalingana na China na huko kwingine. Kama kuna umachinga holela kabisa kama tulio nao hapa. Kama huo umachinga ndio uliowapaisha. Tafuta habari za China hata za enzi za Mao uone walikuwa wapi kiteknolojia.

Ukitaka kupata ushindi wa kisiasa hapa JF unaweza kubisha vyovyote unavyotaka. Lakini ukweli utabaki palepale.
 
View attachment 1714616

Sasa hivi kuna sera zisizo rasmi za kuwabeba ati watu "masikini".

Nawawekea mfungo hao "masikini" maana hata definition yao katika jamii hawajulinani.

Humo kuna mama lishe, machinga na wengine wengi.

Kundi hili kwa sasa, hasa jiji la DSM, limeendekeza uchafuzi wa mazingira mkubwa sana.

Tatizo la hao "masikini" wamepewa open cheque ya kufanya lolote wanalotaka Jijini.

Wanaweza fungua biashara popote
Wanaweza kwenda haja popote
Wanaziba mitaro ya maji ya mvua
Hawazoi taka zao
Hawalipi kodi yoyote
Hawataki kudhibitiwa kwa aina yoyote ile kiutaratibu.

Walijengewa Machinga Complex kule Ilala lakini wako wanang'ang'ania barabarani

Kiujumla hawa "masikini" wanaweza kuwa mtaji wa kisiasa lakini ni kero kubwa kwa watendaji Jijini.

Hili sasa limesha kuwa tatizo la kisiasa.
Kodi tunalipa 20,000 kwa mwaka
 
Biashara zina mipaka na madaraja.
Mfano unaflemu unalipa flemu,kodi tra na manispaa alafu kuna mtu kapanga chini mbele yangu vyote hivi kuchangia hakuna kwa shilingi elfu 20 hata taka taka wakija umuoni kwenye kulipia.
Kesho tanzania itakuwa na watu wa kitambulisho cha elfu 20.ndio inafanya serekali kupandisha kodi,kuleta tozo za ajabu ili mradi kutetea umaskini ambao unaweza kutatuliwa kwa kuwandalia mazingira ya biashara au kutengeneza majengo kwa mfano vipato fulani maeneo fulani maitaji fulani au kuweka sera ya baishara na maeneo
 
Unakuta mwanaume mzima kabisa anakalisha makalio yake pembeni ya barabara anauza dodoki. Eti ni maskini. Mfyuuuu
Mtu mwenye shida na ambaye ni masikini anazunguka hawezi kukaa hovyo. Na hao ndiyo machinga wa ukweli.
Kinachofanyika sasa hivi ni band aid solution haina msaada wowote.
Vitu kama hivi ndio vinachochea never ending cycle of poverty. Mbwembwe zote za siasa zikiisha maskini atabaki kuwa maskini na atakuwa maskini zaidi.
 
Kifupi. Huijui dunia. Hujafika China wala kwenye nchi za Asian Tigers. Muhimu zaidi huhitaji kwenda huko. Taarifa nyingi zinapatikana kupitia vyanzo vya kuaminika duniani kote. Unahitaji tu kuwa makini (serious), mkweli na mtafutaji mzuri wa taarifa. Pia uwe na uwezo mzuri wa uchambuzi wa uchumi mpana (macroeconomic analysis). Halafu uone kama mpangilio tulio nao hapa unalingana na China na huko kwingine. Kama kuna umachinga holela kabisa kama tulio nao hapa. Kama huo umachinga ndio uliowapaisha. Tafuta habari za China hata za enzi za Mao uone walikuwa wapi kiteknolojia.

Ukitaka kupata ushindi wa kisiasa hapa JF unaweza kubisha vyovyote unavyotaka. Lakini ukweli utabaki palepale.
Hawa ni aina ya watu wanakuambia "unataka kukaa mjini peke yako?"
 
Ninyi ndo mnapotosha hata maana ya umasikini na namna ya kuutatua.
Hao machinga mbona hamuwaruhusu wapanga bidhaa zao kati kati ya barbara ili wapate sehemu nzuri zaidi kuuza bidhaa zao.
Waange kwa mfano barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo rd, Morogoro rd!
Hapo huksi wateja wa kumuondolea machinga umasikii!
Lakini ndio miji inavyopaswa kuendeshwa?

Its a very parohial view ya kutatua umaikini , ati kuruhusu masikini wafanye wapendalo, kwa vile tu ni mtaji wa kisiasa, na wanajipatia chochote.

Ok! sasa mitaro jijini imejaa taka za achinga, nani aksafishe ?

Hii Tanzania tunawapenda masikini? au tunauchukia umasikini?
Na tuna sera zipi kutatua tatizo hili?
Kama mtu hana solution ya kutatua matatizo, kuyaruhusu kushamiri nalo ni tatizo.

Leo vijana masikini wanafurika jijini bila kikwazo, tunataka wote wawe machinga na mama lishe?
Na pengine kutatua tatizo la ajira nchini ni watu kufurika jijini Darna kuanzisha banda kando kando aua katikati ya barabara?
Its a very poor foresight.
Sidhani kama anaelewa vizuri maana ya umaskini na cycle of poverty.
Sidhani kama anaelewa kwamba mbwembwe zote zikiisha atakayeumia zaidi ni masikini.
Sidhani kama anaelewa umasikini ni deep systemic issue inayohitaji deep systemic solutions kwanzia kwenye ngazi ya kifamilia ili kuitatua.
Maskini wengi hawafahamu hili ndio maana wanabaki maskini.
 
Back
Top Bottom