Sera za CHADEMA majimboni zinatekelezwa?

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,362
1,225
Wanajamvi mi naomba tu kuuliza, kwa sasa CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani hapa nchini Tanzania na kinakua na kupanuka kila siku.Naomba kuuliza toka uchaguzi uliopita mpaka leo hii wabunge wa CHADEMA wametekeleza ahadi zao?

Nauliza hivi kwa kua hawa jamaa wanampango wa kuchukua nchi,sasa kabla wananchi hawajaamua 2015 ni heri tungejua kwanza post ndogo tu za ubunge wameweza?
Naomba tuchangie kwa amani,vurugu na husda weka pembeni kama we ni mwanasiasa wa kweli!!!
 
lycan

Senior Member
Apr 28, 2012
169
225
CHADEMA ni waongeaji tu na si watendaji maana huku ubungo hali inatisha na huyo mbunge wetu kazi yake ni kupiga vijembe CCM
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619

kwa sasa nchi inaongozwa na chama cha mapunduzi wao ndio wakusanya kodi, na shughuli nyingine zinazohitaji utendaji, kazi ya wabunge ni kuwasilisha matatizo ya wananchi sehemu husika na sio watendaji,fungua akili yako fikiria kwa mapana kwa mfano jimbo linapokosa maji unategemea mbunge atoe fedha za mfukoni mwake alete maji?
kazi yake ni kwenda kuiambia serikali kupita wizara wananchi wa jimbo langu hawana maji.
utaweza kui-evaluate chadema pale watakapokuwa na wizara manake wizara ndio wenye fedha...
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
225
CHADEMA ni waongeaji tu na si watendaji maana huku ubungo hali inatisha na huyo mbunge wetu kazi yake ni kupiga vijembe CCM
ni hali gani inayotisha ubungo ambayo sisi wengine hatuioni? wewe ulitaka ndugu Mnyika afanye nini? kwanza huna akili timamu wewe! hivi pale anapozungumzia ufisadi TANESCO ameipiga vijembe CCM? au ulitaka mwendelee kuiba hayo mabilioni na kuyapeleka Uswisi? wezi wakubwa nyie
 
hoyce

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,117
1,195
Wanajamvi mi naomba tu
kuuliza, kwa sasa CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani hapa nchini
Tanzania na kinakua na kupanuka kila siku.Naomba kuuliza toka uchaguzi
uliopita mpaka leo hii wabunge wa CHADEMA wametekeleza ahadi zao?

Nauliza hivi kwa kua hawa jamaa wanampango wa kuchukua nchi,sasa kabla
wananchi hawajaamua 2015 ni heri tungejua kwanza post ndogo tu za ubunge
wameweza?
Naomba tuchangie kwa amani,vurugu na husda weka pembeni kama we ni
mwanasiasa wa kweli!!!
Kani Chedema walishakusanya kodi kiasi gani? Maendeleo yako waulize wanaokutosa kodi
 
Sihali

Member
Nov 17, 2010
88
0
Kaka hawa Chadema hawtaki kuambiwa ukweli lakini mwisho wao umekaribia maana vigogo wao makao makuu maelewano hakuna.

Nilijuwa watakutukana na nimethibitisha hapo juu matusi ya wazi. Siasa ni kazi ya CCM.
CHADEMA wansubiri sifa na wakisemwa watukate. Bhaaass
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,660
2,000
Wanajamvi mi naomba tu kuuliza, kwa sasa CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani hapa nchini Tanzania na kinakua na kupanuka kila siku.Naomba kuuliza toka uchaguzi uliopita mpaka leo hii wabunge wa CHADEMA wametekeleza ahadi zao?

Nauliza hivi kwa kua hawa jamaa wanampango wa kuchukua nchi,sasa kabla wananchi hawajaamua 2015 ni heri tungejua kwanza post ndogo tu za ubunge wameweza?
Naomba tuchangie kwa amani,vurugu na husda weka pembeni kama we ni mwanasiasa wa kweli!!!

Tatizo ninaloliona katika nchi yetu ni kuwa tumeingia katika mfumo/ demokrasia ya vyama vingi bila kueleweshwa au hata kuweka mfumo wa kuwaelewesha watu wetu. Ni nani alikuambia kuwa Chama kisicho madarakani kinatekeleza sera zake? Ingekuwa hivi si ingekuwa vurugu katika nchi maana wangedai wakusanye mapato Yao na wasimamie taasisi za dola! Hata hivyo kutoelimika huku kunawafaidisha watawala amabo hawaoni umuhimu wa kuweka mfumo utakaowafumbua watu sambamba na demokarasia tunayodai kuifuata. Ninasema hivi kwa sababu nimeshasikia hata viongozi waandamizi wa vyama na serikali wakisema haya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom