Sera ya ushoga na mahusiano ya kimataifa

Sera ya ushoga na mahusiano ya kimataifa

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
400
Jaman ndugu zangu kuna jambo ambalo bado najiuliza kuhusu hii sera ya ushoga inayo shinikizwa na maaifa makubwa kama uingereza na marekani katika mataifa mengine.

Tatizo hili limeanza kunifanya nifikirie toka kile kilichotokea baina ya nchi ya Uganda na Marekani kuwa,"JE HII SERA YA USHOGA NA MAUSIANO YA JINSIA MOJA ni kweli inatetewa haki ya kibinaadamu hapo au kuna mambo mengine yamejificha nyuma ya pazia?"

Hofu yangu ni nchi zetu hizi katika bara letu au dunia yetu hii ya tatu kama ijulikanavyo nikua isije kua kuna misukumo ya kisiasa au usheteni wa kiimani katika sera hii.

Mwisho:naogopa kua kuna jambo linaweza kua si zuri kuhusu sera hii linakuja hapa tanzania pia,nakumbuka siku ile Rais wetu anapohojiwa na mwandishi wa cnn kuhusu jambo hili kule london aliniacha njia panda na majibu yake juu ya mambo ya ushoga.nikama alikua hayuko huru na majibu aliyo yatoa na pia majibu hayakua specific katika kulikataa jambo hili au kuli kubali.

#TumeKwishaWatanzania
 
Huo ni mpango wa kuelea ktk kuishi dunia kama kijiji, yaani kila mtu haki sawa, hakuna utofauti wa kisiasa, rangi, jinsia wala Imani. Ndio maana hata Mtawala huyo ajaye atawatawala dunia ikiwa ni kama kijiji na dunia italazimishwa iwe na imani moja ili huyo mtawala atawale kwa urahisi.
Ushoga utakuja kukubaliwa na nchi nyingi hapo baadae, siku zijazo dunia itakuwa chafu sana sana.
 
Back
Top Bottom