Sera ya Taifa ya Senene....Bila hivyo 2015 hapatoshi

Sera ya Taifa ya Senene....Bila hivyo 2015 hapatoshi

Cathode Rays

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
1,738
Reaction score
1,495
Tunataka sera ya taifa ya Nsenene...

Kwa nini serikali hawaoni hili......

Infwact, Hivi serikali hawajui wakiwekeza kwenye viumbe hawa tukaanza kusafirisha nje ya nchi kama kule Kentucky kwa Rwechungura, Massachusetts kwa Rugemalila, Oxford ambako mwanangu Kokuberwa "anachukua" ile Masters yake na wngine wengi waliosambaa huko tutapata fwedha nyingi za kigeni?

Tunataka sera, tunataka uwekezaji wa kutosha na mitambo ya kuvunia hiki chakula botra kabisa duniani na mikakati madhubuti

Bishanga, Ta Muganyizi, BONGOLALA and the rest, come here tuinganganize serikari kuunda sera maalum ya Senene

Otherwise 2015 hapatoshi....
 
Last edited by a moderator:
Senene oyeee
Ntatoa mashine za kukamatia

Teheheeteeeehheee, umeona my dear eeeee,

Watuletee bana teknolojia ya kukamatia hawa viumbe adhimu...mataaa makubwa yale ukiweka bukoba katikati hata senene walioko Uganda wanahamia kuja home sweet home

Senene kwao Kagera bana, walioko Uganda na kwingine wamepotea njia hao
 
Umeanza lini wizi?

Ile aidia ya kukuajiri konsaltant ufanye upembuzi yakinifu ushafanya yako hadi kuajiri mtu mpya?

Mie sisemi mengi. Hii biashara ya wadudu itakujalipa sana.

Tayari my business partner wabgu snowshite anafanya feasibility study ya hii biashara.

Tuna back up kubwa sana kutoka Umoja wa Mataifa.

[URL]http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2013/05/130514_un_chakula.shtml

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/450683-janga-la-njaa-un-yashauri-watu-wale-wadudu.html[/URL]
 
Last edited by a moderator:
Mie sisemi mengi. Hii biashara ya wadudu itakujalipa sana.

Tayari my business partner wabgu snowshite anafanya feasibility study ya hii biashara.

Tuna back up kubwa sana kutoka Umoja wa Mataifa.

'Wakati wa kula Wadudu ni sasa' UN - BBC Swahili - Habari

https://www.jamiiforums.com/habari-...nga-la-njaa-un-yashauri-watu-wale-wadudu.html

Yaaaah,

Kumbe soko lipo kabisa......ukiachilia mbali la vijana wetu walioko nje ya nchi wanaosoma ambao huwa wanatuandikia email tuwatumie kwa DHL

We can export tons and tons

Heee, I am just amazed, Aunt snowhite na wewe umoo,

Karibu senene jana nimetumiwa kutoka nyumbani nawatafuna hapa wakati Koku wangu mtarajiwa anatamani nimgawie
 
Umeanza lini wizi?

Ile aidia ya kukuajiri konsaltant ufanye upembuzi yakinifu ushafanya yako hadi kuajiri mtu mpya?

Hebu acha kuwa kama Chande bana.

Amka kumepambazuka.

Riziki haivikwi kanga lakini usipoitafuta huwezi kuipata.

Sema sana lakini utakuwa mpole ghafla.

Maisha mtego ukisepetuka umenasa.

Maisha popote, maisha mahesabu.

Nawamiss Twanga Pepeta wa enzi hizo.
 
Kumbe soko lipo kabisa......ukiachilia mbali la vijana wetu walioko nje ya nchi wanaosoma ambao huwa wanatuandikia email tuwatumie kwa DHL

Hhahahahah.

Kuna jamaa mmoja mhaya aliwabeba wa kutosha kwenye kiroba kwenda nao nje mbona ilipofika airport ya huko wakataka kumletea za kuleta?

Jamaa akajaribu kuwafafanulia kuwa ni msosi wake lakini jamaa wakadhani ni madawa ya kulelevya vile. Walimwanchia na senene wake masaa matatu baada ya kuwa-examine in details.

Juzi tena hapa kuna jamaa kutoka Bukina Faso alikamatwa Gatwick airport na kilo 94 za caterpillars kutoka Afrika yeye akaachiwa lakini caterpillars zilikamatwa na kuwa destroyed japokuwa jamaa aliwaambia kuwa zilikuwa kwa ajili ya chakula.

Wanadai eti "This was an unusual seizure but the vigilance of our officers has stopped these dried insects from entering the UK, and possibly posing a risk to our food chain." Halafu hapo hapo wanatushauri tuwe tuna kula wadudu kukabiliana na njaa.

Why Did A Man Try To Smuggle Dried Caterpillars From Africa Into London Airport?
 
senene watamu aisee nakumbuka miaka nilokuwa bukoba nyamkazi nimegegeda sana senene...

We acha tu my dear Smile, hawa viumbe ukisema uwasifie utajjikuta mate yanakudondoka mdomoni,

Basi niwapate na zile ndizi za pale Kyaka zile (gonja) acha kabisa
 
Last edited by a moderator:
We acha tu my dear Smile, hawa viumbe ukisema uwasifie utajjikuta mate yanakudondoka mdomoni,

Basi niwapate na zile ndizi za pale Kyaka zile (gonja) acha kabisa
kipindi nimeenda bk nilikuwa nawashangaa home wanavowapenda
nilivotest aiyaa nikawa stering hadi wa kuwaokota
huku dar wanauza ghali sana aisee ila hivohivo nabanana nao.. nimewala sana na mandizi ya bk hadi nimekuwa muhaya kimwili daah
 
ila nasikia wana nyege sana ndo maana wahaya wanakitembeza sana

Hahahaaaa, siti neno katika hili

Ila Smile na wewe umekula sana hawa kwa mujibu wa post yako juu, hebu tupe experience yako, vipi hali ilikuwaje?

Me ninachojua wana afya sana na virutubisho vya kutosha...ukijumlisha na ndizi hata kama mtoto ana bichwa la Kikwere, hawezi chora Zombie NECTA
 
No wonder umewagegeda sana. Surely hii biashara inalipa.

In this aspect kuna wale wanaotafutaga sana ushauri kwa Doctor MziziMkavu,

Ngoja tufanyie utafiti tupate aspect nyingine ya kupromote
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa sijawala saaaana muda mwingi nilikuwaga shule ...so sijawai kuexperience hiyo kitu besides those days nilizokuwa zote nilikuwa bado kuanza hayo mambo..mimi mambo ya malavidavi nimeanza juzi tu mwaka wa tatu college ujue.

Back
Top Bottom