Sera ya Taifa ya Senene....Bila hivyo 2015 hapatoshi

Sera ya Taifa ya Senene....Bila hivyo 2015 hapatoshi

ahahaaa sijawala saaaana muda mwingi nilikuwaga shule ...so sijawai kuexperience hiyo kitu besides those days nilizokuwa zote nilikuwa bado kuanza hayo mambo..mimi mambo ya malavidavi nimeanza juzi tu mwaka wa tatu college ujue.

Anyway, tutafanyia utafiti observation yako ili tuone kama ni aspect nyingine ya kutilia mkazo idea ya kuwa na sera ya kitaifa ya maendeleo ya Senene

Si unajua Doctor MziziMkavu anapata sana wateja wengi wanaohitaji ku-boost "mnyegelisho"
 
Last edited by a moderator:

ahahaaa namuaminia....hivi mna shida gani wanaume wa digital na manhood zenu?
 
na bado nawagegeda mkuu..senene watamu atiii

I see.

3555_459797474094877_1314683452_n.jpg
 
ahahaaa namuaminia....hivi mna shida gani wanaume wa digital na manhood zenu?
Rekebisha kauli Smile,

Sema "baadhi" na tumia neno "wana" shida gani...

Then kama wapo watakusaidia jibu...
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa, mkuu umenikumbusha nikiwa mdogo...tulikuwa tunaita "kubaka" senene

nakumbuka miaka ya 90 kijijini nashindana na kaka zangu kukamata senene halafu baadae mnahesabu nani amekamata wengi. Makaka wote wanafamilia zao sasa mjini. Kitambo aisee
 
Umeanza lini wizi?

Ile aidia ya kukuajiri konsaltant ufanye upembuzi yakinifu ushafanya yako hadi kuajiri mtu mpya?

hivi hujui firm yetu ilivyo na mawings mengi!
mkataba wetu na wewe sidhani kama una kipengele kinachokupa mamlaka ya kutuchagulia aina ya biashara ya kufanya na hata tuajiri nani na kuacha nani!AU?
by the way nimeacha invoice hapo ofisini kwako!
 
Yaaaah,

Kumbe soko lipo kabisa......ukiachilia mbali la vijana wetu walioko nje ya nchi wanaosoma ambao huwa wanatuandikia email tuwatumie kwa DHL

We can export tons and tons

Heee, I am just amazed, Aunt snowhite na wewe umoo,

Karibu senene jana nimetumiwa kutoka nyumbani nawatafuna hapa wakati Koku wangu mtarajiwa anatamani nimgawie

infwact na miiimi niiimoh!
 
Back
Top Bottom