Kwani wewe unajua maeneo hani Rwanda? Kigali ipo Rwanda. Ni wapi kule uliona nyumba za tembe/nyasi kama sisi? Shule zao kuna sehemu uliona wanakaa chini? Ile ni nchi ndogo, landlocked, ina resources kiduchu, mauaji ya genocide yaliiharibu nchi kwa kiasi kikubwa. Na kama kusingekua na vita leo hii tungekua tunapokea misaada toka huko.