Sera ya Nyumba 300 Rwanda

Wakati ukisema ya Cong DR kuwa inaibiwa Rasilimali na Rwanda mbona hushangai kuwa nchi yako inaongozwa kutokea Kigali?

Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
Mjinga wewe...

Halafu mods wamekaa Wanashindwa hata kukuwasha Life ban kwa kusambaza upuuzi ...

Jamii forum mnajishushia hadhi kwa kuruhusu mtu kupost ujinga wa kuleta mtengano wa kitaifa....

Moderator
 
Umeandika kipopoma na kitutusa ujinga mtupu
 
SASA wafanyaje kama nyie kila kitu Siasa za vyama na KAZI kujenga miji!? Watu waliweka nyumba 300 kila mwaka baada ya hapo marumbano ya viwanja yalianza
 
Rwanda inanuka genocide. Kagame apambane aishi milele ila kama atakuja kufa chuki aliyopandikiza italipuka siku ileile akitangazwa kafa.
Hata VP Tanzania nayo inanuka genocide ya kuwadumbukiza watu kwenye maji vifo vyao ni MTU mmoja mmoja
 
Na Rwanda ndio nchi pekee yenye watu wanafiki na wenye akili ya kishetani, kupenda kumwagana damu kila wakati.

Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
 
Kwani hiyo Vita ilianzishwa na watanzania so walibomoana wenyewe kwa wenyewe unaongea utafikiri Kuna mmarekani alivamia Rwanda au mataifa ya nje
Mbona unaichukia sana Rwanda ndugu?
 
Mkuu punguza ubishi hata SA,China na India yapo hayo unayoyasema,Je wao tusiwasifu kwa hatua wanayoendelea kupiga?
 
Hao asili ya Ethiopia so hata waithiopia ni mageneous sana,angalia trend ya viongozi wao akina Selasie na hata huyu alipewa tuzo majuzi hapa
Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
 
Mkuu punguza ubishi hata SA,China na India yapo hayo unayoyasema,Je wao tusiwasifu kwa hatua wanayoendelea kupiga?
Nimeongea ninachokijua physically, prove me wrong kwa ushahidi. Unajua Rwanda raia wake wanatumia bima ya afya kwa kiwango gani! Usipende kuhadithiwa go there and see.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unaichukia sana Rwanda ndugu?
nimeuliza kama wana akili nyingi wanyarwanda kwa nini waliuana wao kwa wao? maana kuna watu wanasema wanyarwanda wana akili nyingi
 
Wakati ukisema ya Cong DR kuwa inaibiwa Rasilimali na Rwanda mbona hushangai kuwa nchi yako inaongozwa kutokea Kigali?

Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
Hivi uchumi wa Rwanda unaufikia uchumi wa Kariakoo na Akili zao zote hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…