Sera Mpya ya nje ya Tanzania (Tanzania Foreign Policy - 2015)

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Messages
1,403
Points
2,000

Informer

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2006
1,403 2,000
Habari Wakuu,

Nimeikuta sera yetu ya nje mahala na nimeona si vibaya nikiileta hapa tuweze kuipitia kurasa hizi cache (Kurasa 27).

Kwa ufupi sera yetu ina maono haya:-

Vision: Kuwa chombo chenye ufanisi katika kusimamia masuala ya Kiuchumi ya Tanzania na maslahi yake yote katika mataifa ya nje ya nchi

Mission: Kuendesha diplomosia endelevu itakayo zalisha shughuli za Kiuchumi na kuiwezesha Tanzania mabadiliko ya Kimaendelo na kujitegemea

Motto: Bora kuliko jana, isiyo na upungufu zaidi ya kesho

Wabobezi wa Lugha nitaomba msaada wenu katika tafsiri endapo ni sahihi.

---

Vision: To become an effective promoter of Tanzania's economic and other national interests abroad.

Mission: To conduct an active diplomacy that will generate economic activity and facilitate Tanzania's rapid transformation and sustainable development.

Motto: "Better than yesterday, no less than tomorrow"
 

Attachments:

Kande

Senior Member
Joined
Mar 15, 2016
Messages
116
Points
250

Kande

Senior Member
Joined Mar 15, 2016
116 250
Mkuu umeleta jambo zuri. Hii in muhimu kujua nchi yetu inafungamana vipi na mataifa mengine ya nje.

Lakini nimeona imeainisha misingi ya uanzishwaji wa hii Sera. Kimsingi imekaa vizuri
 

Forum statistics

Threads 1,382,659
Members 526,426
Posts 33,833,141
Top