Sera Mbadala: Chadema yatikisa Mbeya

Kinacho wabeba CDM ni kimoja tu, viongozi wake wengi wana high IQ. Bado sijajua ni mchakato gani wanapitia kuwapata, natamani sana kama taifa tungewaiga. Kwenye jambo jema la ubunifu tuweke itikadi pembeni.
Chadema ni mpango wa Mungu , kumbuka kwamba hakuna mpango wa Mungu uliowahi kufeli
 
Chadema ni mpango wa Mungu , kumbuka kwamba hakuna mpango wa Mungu uliowahi kufeli
Ufalme wa Mungu hauna hata dhehebu kwahiyo sahau kuhusu kuwa na chama cha siasa. Kama ni Mkristo jihadhari usiingie kwenye “Blasphemy maana haina msamaha.
 
Nauliza tu hivi unajua kuna ukumbi wa tughimbe mafiat pale, naona unauwaza ule ule wa mblz
 
Si wana wachochea mnyukane? fisi ukitaka uwaulie mbali anza kuwatupia fupa wanauana na kujeruhiana kisha unakuja kumalizia kwa kufyekelea mbali
Safi sana! wangekuwa na Akili hizi ingekuwa safi sana. Ila bahati mbaya wao wapo serious km kawaida yao. Manyumbu
 
Ndiyo maana wanakataa msifanye mikutano nje. Acheni kuwachokoza. Next time hata kibali cha kufanya mkutano wa ndani hamtakipata.
 

Mwanachama wa CCM anarudisha kadi ya CCM kwa CDM amevaa T-shirt ya CDM how, na pembeni jamaa kapiga gwanda? Hi ni propoganda mfu. Last kick of dying a donkey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…