Ndeonasiae
Senior Member
- Aug 15, 2011
- 102
- 49
honestly?? hiyo ni sheria ya nchi ama basic principles of life??Subiria divorce. . .kwani mahusiano yanakimbia?
sikuwahi na sipendi. I believe in fsithfulnessulishakuwa na mahusiano nje ya ndoa?
Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande mbili bado haijafika mahakamani) japo kuna mvutano mkubwa jamaa hataki kabisa kuvunja hii ndoa (ambayo mimi najua imevunjika ila bado mambo ya kisheria tu). Im in my early 30s, Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that.
Ushauri:
1.Nikiwa kama binadamu wa kawaida honestly najisikia kama kuingia kwenye mahusiano tena, naomba mnisaidie muongozo wanaJF, Is it right to get into the relationship during separation? if yes to what level, kisirisiri au hata public? je ni upi muda muafaka (eg mwaka 1 au 2 au never) hasa unaoshauriwa kwa walioachana kuwa na relationship nyingine?
sikuwahi na sipendi. I believe in fsithfulness
honestly?? hiyo ni sheria ya nchi ama basic principles of life??
whatever you think you are right, kiatu nimekivaa mimi najua kinaniumiza kiasi gani. if you can be kind enough to stick into my questions. 🙂wewe ulikuwa na lako jambo ndio maana hutaki kusuluhisha huo mgogoro wa ndoa yako. Unakuwa kama JLO bana
Naamini kwa sasa sina commitment yoyote ile, mentally and physically, and that is clear to the other part, I dont have a problem with him datingunadhani kuwa separated kuna maanisha bado uko ndani ya ndoa (in terms of commitment)?
Naamini kwa sasa sina commitment yoyote ile, mentally and physically, and that is clear to the other part, I dont have a problem with him dating
Thank you tuko, nimeipenda hii. je kuna kikwazo endapo sijafile bado? im just asking nijueIngia kama umepata unayempenda. But ukishakuwa na uhakika nae, fanyeni public wakati huohuo nenda mahakani ku-file maomba ya divorce, kama kinga tu ili asijewabughudhi...
you are right hicho ndicho ninachoamini lakini nikaona si vibaya nifanye kipima joto nione kuwa niko kawaida, pengine inaweza kuwa kosa kisheria!kama unaamini huna committment, kwa nini usiendelee na unalowaza hadi uje kuuliza?
Kumbuka mambo ya mapenzi ni binafsi
hili nalo neno nalifikiria pia thanks.sidhani kama kuna ubaya......
Ila kwa nini usijipe muda kwanza?
mambo ya ndoa ni mazito.saa nyengine divorce is the best option,ingawa ki utamaduni wetu,utasemwa tu.kuhusu mleta topic,kwa nini usijipe muda zaidi?kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya?maana mambo ya kuachana kwa upande mwengine ni mazitowewe ulikuwa na lako jambo ndio maana hutaki kusuluhisha huo mgogoro wa ndoa yako. Unakuwa kama JLO bana
Etieee?? nadhani ni wazo zuri piamambo ya ndoa ni mazito.saa nyengine divorce is the best option,ingawa ki utamaduni wetu,utasemwa tu.kuhusu mleta topic,kwa nini usijipe muda zaidi?kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya?maana mambo ya kuachana kwa upande mwengine ni mazito
whatever you think you are right, kiatu nimekivaa mimi najua kinaniumiza kiasi gani. if you can be kind enough to stick into my questions. 🙂
Thank you tuko, nimeipenda hii. je kuna kikwazo endapo sijafile bado? im just asking nijue