Yaani wewe unaonekana school ulikuwa unamaliza pamphletsNimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
[emoji735][emoji735]Moyo wangu umekudondokea,, njoo tuunganishe makojoleo!
Umenikumbusha mwl wangu wa o-lever alipenda sana kutumia huu mstari kutuonya tuache kuwadanganya mabinti wa watu kwa kuwaambia moyo wangu umekudondokea.Moyo wangu umekudondokea,, njoo tuunganishe makojoleo!
Simple and clear Haha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apa achomoi tena unampa buku 20 papo hapoUnatoa hutoi
Ebhn hii nzur ila hizi sifa umpe anayestaili maana...nimevutiwa sana na wewe, kiufupi una akili sana na mtazamo chanya kuhusu maisha
Hapo sasa ulkwa una approach kwa ajili ya mapenz au vita hiyo tena mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Hakudondoka, ilibidi nimkate ngwara ndipo akadondoka!
Kwa hiii hachomoi mtu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Dah.... Hapa lazima akubali....Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu naaamini upo ndoani nae kwa miaka kadhaa, sio kwa visawe hiviNimejaribu mara nyingi kuiambia nafsi yangu kile nikiwazacho si halisi na si ukweli lakini kila mara imekua ikinisuta na kuniambia niseme ukweli wa moyo wala nisifiche maana ndipo amani itanijia " hakika nimeshindwa kujizuia tena naona leo niweke bayana Salma moyo wangu unakuhitaji na unatamani siku zote uwe karibu yangu na niwe nawe mpaka uzeeni kwangu maana nafsi yangu imetekwa na uzuri wa tabia zako na umbo lako pia hakika wewe ndo yule niliyekuwa nikimsubiri siku nyingi , naamini hakuna aliyekamilika ila kwa asilimia kubwa umeshinda zabuni ya kuumiliki moyo wangu ,nakupenda salma na ntahisi kuumiliki ulimwengu wote endapo utakubali kuungana nami salma ,,,,
Hahaha huyu mtoto wa kike siishi hamu ya kuwa naye kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu naaamini upo ndoani nae kwa miaka kadhaa, sio kwa visawe hivi
Mwaka wa tano huu kiongoz,jib alilonipa alisema tu tuombe mungu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu naaamini upo ndoani nae kwa miaka kadhaa, sio kwa visawe hivi
Then go straight to the point, usimuaminishe mwanamke kuwa utaspend naye maisha yote wakati unataka dudu tu ya one time...One night stand!