Sensa ya WACHINA nchini Tanzania

Mimi nadhani mngeanza na sensa ya pikipiki za kichina, mabasi, baiskeli, barabara, reli, viwanja vya mpira vya kichina, n.k., acheni ubaguzi.



Akili ya kukariri changanya na ya kwako!!!
Kama kweli wako milioni nane ni hatari kama UKIMWI.
 
Kwanini tuwasakame wachina tu? Wapo pia wakenya, wayuganda, wakongo, wanageria, waarabu, wahindi...nao wanafanya kazi hizohizo wanazoweza fanya watanzania



Afrika ni Moja.Hata mila na imani zetu za jadi zinafanana. Mtu mweusi bara lake na asili yake ni Afrika.
Ila hawa wachina ni wakati wao wa kuingia kwenye shamba letu la mahindi lisilo na mlinzi.
 
April 2004 nilikuwa IlembuLa Iringa sijui kama ni Njombe now,, nilikuta wachina kibao, wengi wao waganga wa kienyeji hata kichina wamesahau wanaongea kibena tu.
 

Aisee Palm Beach ndo kijiwe chao kikubwa kabisa. Na asilimia zaidi ya 90 ya vidada vya kichina unavyoviona pale vinajiuza, USD 100 kwa mshindo mmoja, ukishakua mteja wake bei inashuka hadi Tsh 50,000.
 
Wapeni kati ya miaka 10 mpaka 15 kama Serikali haitakuwa makini kuwazuia hawa jamaa kuingia nchini kiholela basi wanaweza wakawa wao ndio majority na siye tunakuwa minority. Wanaitana tu kuna shamba la bibi huku njooni tuvune kwa raha zetu basi watatiririka kwa idadi kubwa.
 
Ni Sasa yote hya hyana shida wakuu ila jiulize,je cc tunaweza kufany hvo china,mfno kuchoma chips china,kuuza yeboyebo.....
Tunajibu tu mada Vila kufkria mbele baada ya miaka10
 

haaahaaaa! maisha bora kwa kila mtanzania ccm bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…